Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Man of the Match
20221127_201545.jpg
 
Uchawi ni viongozi wa club kufanya sajili nyingi bila matakwa ya bechi la ufundi bali kwa matakwa yao au mapenzi ya tajiri.
Key point ni matakwa ya benchi la ufundi sio kocha pekee wala mmiliki maana usajili uliopita sijui yalikuwa matakwa ya nani. Nakumbuka zama za Conte alipoanza kusikilizwa akaanza kutoa kina Matic kaleta Bakayoko. Costa kaleta Morata
 
THE BLUES kocha sio manager kama Arsenal, City, Liver.

THE BLUES kocha anasajiliwa Wachezaji kazi yake ni kuwaorganize uwanjani

Utamaduni wetu wa kufukuza makocha kila mwisho wa msimu haukutoa mwanya kwa kocha kutulia na kusajili wachezaji wake.

Ndio maana hii PROJECT ya potter naita UCHWARA kwa sababu hizi hizi za uongozi kuendelea kusajili matakata bila matakwa ya kocha wala kimkakati na kiufundi.
Ni kweli kuna matakataka Chelsea ila ni wachache sana. Chelsea kuna shida kwenye coaching staff na management yote. Matunda ya huo ubove ndio tunapata kwenye poor performance ya wachezaji. Kwa hawa wachezaji tulionao ilitakiwa timu ifanye vizuri sana. Na.uona Potter hana demand kubwa kwa wachezaji. Hayuko agressive. Kocha asipokuwa agresive wachezaji nao wanakuwa legelege
 
Wachezaji gani ulionao sasa wa kufanya useme tungetakiwa tucheze vizuri?

Kante Majeruhi?
Kovacic pancha?
Jorgnho lele mama?
Cucurela mawenge?
Mount ups & downs?
Auba mzee?
Koulibaly mzee?
Sterling faida ndogo kuliko hasara?
Pulisic mtumishi hewa?
Ziyech wa kuzira?

Hatuna kikosi cha kusema tungetakiwa tufanye vizuri.

Tuchel alilazimisha kumkamua ng'ombe maziwa na damu.
Kuku mawenge
JamiiForums405573959.jpg
 
Huu usajili wa Nkunku ni kwa matakwa ya nani?

1. Tuchel?
2. Potter?
3. Toddy Boehly?
4. Madalali wa mjini?View attachment 2429876
Chelsea are now CLOSING IN on Nkunku, approved by Graham Potter, Chelsea have agreed a package close to €70m for summer 2023 with the agreement that no other club can trigger the clause. (@FabrizioRomano)
 
Chelsea are now CLOSING IN on Nkunku, approved by Graham Potter, Chelsea have agreed a package close to €70m for summer 2023 with the agreement that no other club can trigger the clause. (@FabrizioRomano)
Kifupi ,Potter kasema YES BOSS , nkuku ulikuwa uwe usajiri wa Tuchel , Potter kaukutia katikati kasema YES BOSS

Huyu alitakiwa summer na vilabu vingi, klabu yake ikasema anauzwa over £100m labda timu zivizie 2023 ambapo release clause itakuwa ON.

Dirisha lilipofungwa tu, boss wa Chelsea akaanza mipango kimya kimya hata Tuchel alipofukuzwa hapo Potter hajaja. Kakubali kulipa Sasa €60-70m bila kusubiri release clause 2023 akiogopa competition ,kumbuka 2023 release clause yake ilikuwa Ni €60m , hivo competition ingekuwa kubwa Sana .
 
Chelsea wanataka hata kikombe Cha uji msibebe

Manchester City vs Chelsea in the FA CUP third round. #CFC
 
Kwa viwango vya mshahara wanavyolipwa Cucurela (175k) na Fofana (200k)

Dah Mount anastahili kulipwa 400k

Nkunku akitua alipwe 600kView attachment 2429116
Mtu anayetakiwa kulipwa mshahara wa maana pale ni Reece James ,Ben Chillwell , Thiago na Ngolo Kante kama yupo mzima ,waliobakia ni vikojozi ,hawafai hata kulipwa 100000 kwa wiki
 
Chelsea are now CLOSING IN on Nkunku, approved by Graham Potter, Chelsea have agreed a package close to €70m for summer 2023 with the agreement that no other club can trigger the clause. (@FabrizioRomano)
Lukaku mwingine anatengenezwa ,I'm serious mtakuja kuniambia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom