Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kweli pale chelsea tuna shida, wachezaji wake kwenye kombe la dunia ni fire, Koulibaly wa Senegal hafanani na Koulibaly wa chelsea, kweli ninaamini tunashida kwenye uongozi au benchi la ufundi pale darajani
 
Formation + wachezaj wanaowazunguka unakuta wanacover mapungufu yao, hapo ndio umuhim wa viungo unapoonekana

Ziyech n Pulisic ni wazuri kwenye 433,
 
  • Thanks
Reactions: K11
Tatizo kubwa Chelsea ni management tu kocha pale hatuna kocha na wachezaji wote wa chelsea wameprove wrong kwamba sio taka taka kocha ndo clueless.
Hapo kwa kocha sikuungi mkono, wakat wa tuchel hawa wachezaj walimfanya tuchel aonekane hafai tho hakufuzwa based on matokeo, ila wachezaj wetu wengi bado wanashida, wachezaj wanacheza kwa mood na kujihisi washakuwa world class player kumbe ni avarage players, wengi performance zao ni kama homa za vipindi
 
Ni swala la mda tu, Mkurugenz wa ufundi atatangazwa
Screenshot_20221130-105507_Twitter.jpg
 
Hizi Kenge zimeshaanza kunenepeana humu ndani, bora World Cup iishe haraka tuanze kusikia vilio vya maumivu humu jukwaani.
 
Potter ili afanikiwe apewe mamlaka kamili ya kusajili aina ya wachezaji anaowataka, atakaoweza kuwaonya, kuwafokea, kuwajenga kisaikolojia na uchezaji.

Potter kamwe hawezi kufanikiwa kwa hawa wachezaji aliowakuta kikosini. NEVER
Wazo lako ni nzuri kocha akiwa na mamlaka kamiri ya kupendekeza na kusajili wachezaji ni jambo lenye faida kubwa ukiwa na kocha sahihi ila pia ni hatari ukiwa una kocha asio kua na mbinu au tactics kama potter wetu.
 
Tangu Potter amepewa timu sijadhubutu kujadili mbinu zake.

Nikirusha shilingi juu naona ikitua kwa wachezaji ndio wabovu (kisaikolojia, kiuwezo, uzembe, uvivu, kudeka na kula mshahara bure)

Ndio maana huwa nasema kwa kikosi hiki Tuchel alikamua maziwa na damu kupata yale matokeo na makombe.

Kwa maana Tuchel alipambana zaidi ya mbinu zake za uchezaji uwanjani kupata yale matokeo.

Kwa wachezaji hawa, Potter hataweza kukamua maziwa na damu kama Tuchel

Labda atafute wachezaji wake akamue maziwa cream taratibu huku anapiga mluzi.

Bahati mbaya kwa Potter ameshaingia kwenye mtego ule ule wa kusajiliwa wachezaji kwa matakwa ya tajiri na yeye mwenyewe ameshindwa kuwachuja wale alionao kikosini.
Hiii timu kwa sasa ina matatzo mengi sana
 
Ni sawa lakini potter had a poor beginning na pia hana kumbukumbu za kumsupport mashabiki wa chelsea wataka ushindi tu, hiyo pressure hataiweza kuimudu, bora ache mapema mpira ni metality na attitude ambayo imesha haribika tayari
 
Hizi Kenge zimeshaanza kunenepeana humu ndani, bora World Cup iishe haraka tuanze kusikia vilio vya maumivu humu jukwaani.
Habari yako Inzi, hampumzingagi nyie mnasaka mizoga tu 24/7
 
Habari yako Inzi, hampumzingagi nyie mnasaka mizoga tu 24/7
Mizoga ya Mburkenge haitakiwi kuachwa hivihivi, hua inasababisha maradhi ya mlipuko ndio maana tunatumia nguvu nyingi kuiteketeza kabla haijaleta athari kubwa kwenye jamii.
 
THE BLUES kocha sio manager kama Arsenal, City, Liver.

THE BLUES kocha anasajiliwa Wachezaji kazi yake ni kuwaorganize uwanjani

Utamaduni wetu wa kufukuza makocha kila mwisho wa msimu haukutoa mwanya kwa kocha kutulia na kusajili wachezaji wake.

Ndio maana hii PROJECT ya potter naita UCHWARA kwa sababu hizi hizi za uongozi kuendelea kusajili matakata bila matakwa ya kocha wala kimkakati na kiufundi.
Ila fanbase yetu sometymz naonaga huwa ya ajabu Tu...sasa we kweli serious unasema tunasajili bila matakwa ya kocha ..si msimu huu kuna wachezaji wametakiwa na Tuchel ambao ndo matakwa ya kocha na wakaishia kuikacha timu na kuenda timu nyingine.... Nazungumzia kina richarlison, raphina , dembele, de ligt na wengineo na tukaishia Tu kusajili mostly second choices..Leo unasema project uchwara ya viongozi bila matakwa ya kocha

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kama wameikacha timu ndio uongozi usajili matakataka ili mradi?

Kama umekataliwa sokoni kaa chini jiulize maswali kwanini nakataliwa? Shida ni nini?

THE BLUES tuna uongozi poor
Kumbuka Hyo mitakataka ilimradi pia unayoisemea ilikuwa second choice ya kocha . Kama wangeamua wasisajili na wakae chini na kikosi cha kawaida si bure mngekuja na hadithi nyingine za Chelsea inakuwa midtable team yaan viongozi n wamiliki hawana mpango WA kusajili hamkawii hii fanbase

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom