Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa watarudi tarehe hizi, taarifa zaidi kupata sasa ni ngumu kwa sababu wako likizo wale ambao hawatashiriki WC

1. Kante - Feb, 18 2023 against Southampton
2. James - Dec, 27 against Bournemouth
3. Chilwell - Haijulikani bado
4. Fofona - Dec, 27 against Bournemouth
5. Keppa - Dec, 27 against Bournemouth
6. Kovacic - Alisharudi na kesho atacheza dhidi ya Morocco
 
1669136124671.png
 
Naomba kufahamu hali ya majeruhi wetu, recovery zao zinaendeleaje?

1. Kante
2. James
3. Chilwell
4. Fofona
5. Keppa
6. Kovacic

Wanaweza kurudi kikosini baada ya kombe la dunia?

Kama hawataweza bora uongozi wa klabu uandike barua mapema kwenda FA kujitoa kwenye EPL.
Sasa uyo fofana kacheza mechi ngapi na amesajiliwa juzi tu
 
Tod Boehly na wenzake waachane kabisa na issue ya Ronaldo wasijaribu kumleta huyu,
Wamwachie Potter aandae tim anayoitaka na wachezaj watakaoendana na style yake,

Player anayehisi ni mkubwa kuliko team ni wakuwaweka mbali,

Kama kweli tuko serious na kuandaa tim ya ushindani basi tuachane na hizi tetes/usajil Ronaldo mara moja,
 
Kama nilivyosema huko nyuma
Wachezaji wetu wengi wa mbele wanafanya vizuri wasipovaa jezy ya Chelsea

Sterling for England
Havertz for German
Batshuayi for Belgium
Timo Werner for German
Hakim Ziyech for Morocco

Na bado wengine

Chelsea yetu kuna mchawi pale kwenye jiko, hawapiki vizuri, tukubali hilo
Kopcha naye kachangia. Mfano Sterling tulikuwa tunaenda naye vizuri na TT kaja Poteter kajifanya fundi zaidi anampachika Sterling nafasi za hovyo hovyo mara Wingback mara LW mara RW
KOcha pia kafanya hivyo kwa baadhi ya wachezaji wengi

Mfano pia Koulibaly anacheza vizuri kwenye backline ya 4 ila kocha yeye analazimisha backline ya 3. Cheek pamoja na kuwa sio mzuri sana ila akicheza kwenye kiungo mshabuliaji anakuwa mzuri sana kuliko mara Wing back mara DM
Sasa kama mipira yote inarudishwa kwa kipa, foward watapataje mipira. Kazi y chalobah ni kurudsha kwa kipa, ni beki wa hovyo kuwahi kutokea.

Chelsea y sasa ni kama ile ya Lampard kabisa, kipa anakua na idadi nyingi ya pass kuliko kiungo.
 
Kama nilivyosema huko nyuma
Wachezaji wetu wengi wa mbele wanafanya vizuri wasipovaa jezy ya Chelsea

Sterling for England
Havertz for German
Batshuayi for Belgium
Timo Werner for German
Hakim Ziyech for Morocco

Na bado wengine

Chelsea yetu kuna mchawi pale kwenye jiko, hawapiki vizuri, tukubali hilo
Kopcha naye kachangia. Mfano Sterling tulikuwa tunaenda naye vizuri na TT kaja Poteter kajifanya fundi zaidi anampachika Sterling nafasi za hovyo hovyo mara Wingback mara LW mara RW
KOcha pia kafanya hivyo kwa baadhi ya wachezaji wengi

Mfano pia Koulibaly anacheza vizuri kwenye backline ya 4 ila kocha yeye analazimisha backline ya 3. Cheek pamoja na kuwa sio mzuri sana ila akicheza kwenye kiungo mshabuliaji anakuwa mzuri sana kuliko mara Wing back mara DM
Wachezaj wanaokuzunguka ndio wanaokufanya uonekane bora, haland anaweza kuwa na touch chache uwanjan ila utakuta kascore,

Sisi huku kwetu tunawachezaj wachache wazuri ila wanaowazunguka ndio shida.
Ukimuangalia Kai wa Germany na wa Chelsea ni tofauti,

Coz kule anazungukwa na wachezaj wenye quality, unamusiala,gnarby,sane, kiungo una Kimmich,Gundogan,Goretzka,Hoffman,Brandt etc

Sasa huku kwetu anazungukwa na player ambao mda wote wanawaza back pass tu
 
Tod Boehly na wenzake waachane kabisa na issue ya Ronaldo wasijaribu kumleta huyu,
Wamwachie Potter aandae tim anayoitaka na wachezaj watakaoendana na style yake,

Player anayehisi ni mkubwa kuliko team ni wakuwaweka mbali,

Kama kweli tuko serious na kuandaa tim ya ushindani basi tuachane na hizi tetes/usajil Ronaldo mara moja,
Tuchelewe alitimuliwa kwa sababu ya kukataa kumsajili Ronaldo.
Boss kaamua kuwaletea kocha ambae kila kitu atachomwambia jibu lake ni "Yes Boss"
Boehly sasa hivi hata akitaka kumsajili Mkude Harry Potter anajibu "Yess Boss"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu boss wa Chelsea anaendesha timu Kama The Grazzer Family,

Hawa DOF, maskauti, n.k wanakuwepo Kama bosheni tu,

Rejea kusajiriwa kwa CR7,Dimaria,n.k kocha Hana maamuzi, Ni YES BOSS
 
Tuchelewe alitimuliwa kwa sababu ya kukataa kumsajili Ronaldo.
Boss kaamua kuwaletea kocha ambae kila kitu atachomwambia jibu lake ni "Yes Boss"
Boehly sasa hivi hata akitaka kumsajili Mkude Harry Potter anajibu "Yess Boss"
Taarifa kutoka kwa reliable source, zinasema hawana mpango wa kumsajil CR7
 
Batshuay hamna kitu kabisa anawakaba wenzake hii mechi ,bora hakuendelea chelsea
 
Tod Boehly na wenzake waachane kabisa na issue ya Ronaldo wasijaribu kumleta huyu,
Wamwachie Potter aandae tim anayoitaka na wachezaj watakaoendana na style yake,

Player anayehisi ni mkubwa kuliko team ni wakuwaweka mbali,

Kama kweli tuko serious na kuandaa tim ya ushindani basi tuachane na hizi tetes/usajil Ronaldo mara moja,
Ronaldo mzuri, tatizo lake hilo ulilolesama, ana brand kubwa na popote akiwemo anataka awe mkubwa hata kuliko kocha na mwenyekiti wa bodi. Hata ashushe mshahara hadi 50,000 kwa wiki hakuna timu kwenye ligi kubwa atakayemtaka kwa sababu hiyo. Kilichobaki kwa Ronaldo ni kwenda china, USA au Uarabuni. Hata akiamua kutundiga madaluga na kuwa kocha atasota sana kwa hiyo mentality yake ya kujua sana kuliko wengine
 
Chelsea kumenyana na Aston Villa kwenye kikombe cha Al Wahda Challenge Cup
Mechi itafanyika Abu Dhabi kwenye uwanja wa Al Nahyan Stadium tarehe 11 Dec 2022 Jumapili saa 11 jioni EAT
Wachezaji watakaohusika ni wale ambao hawashiriki WC lengo ni kuwaweka wawe fit kwa ajili ya ligi itakayorudi tarehe 27/12/2022 dhidi ya Bornemounth
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom