Hyo ya arsenalVitu vitano visivyoweza kutokea kwenye historia ya Mpira wa Miguu
- Tanzania kushiriki kombe la Dunia
- Nchi ya Afrika kubeba kombe la Dunia
- Arsenal kuvunja rekodi ya Chelsea UEFA
- Ronaldo na Messi Kuchezea timu moja
- Mashabiki wa Chelsea kuwa wavumilivu kama wale wa Liverpool na Arsenal
Kuna dogo anaitwa arsan kutoka urusi naye anawaniwa n Chelsea...anatajwa Sana huenda dili likakamilika....bila kusahau wanatajwa kina trossard kuja janDREAM TEAMView attachment 2418311
Usiongee vitu Kama umemaliza dunia , dunia inazungukaVitu vitano visivyoweza kutokea kwenye historia ya Mpira wa Miguu
- Tanzania kushiriki kombe la Dunia
- Nchi ya Afrika kubeba kombe la Dunia
- Arsenal kuvunja rekodi ya Chelsea UEFA
- Ronaldo na Messi Kuchezea timu moja
- Mashabiki wa Chelsea kuwa wavumilivu kama wale wa Liverpool na Arsenal
Jorghino mipasi?Nawatetea kwa nguvu zote hawa wachezaji watano
Wachezaji ambao naamini hawatatufaa tena kwenye first team ni
- Koulibaly bado hajazoea kwa vile hajawahi kucheza backline ya 3, kwenye backline ya 4 aliyocheza Kou kacheza vizuri japo sio sana lakini kwenye hii ya 343 ndio anaboronga sana
- Cucurella ni wale wachezaji wanaochukua muda kuzoea ila pia poor form ya timu imemuadhiri
- Sterling style yake ya uchezaji ni ya kimlenda ila anayo vitu vingi vya ku-offer. mfano Sterling ni mzuri kwenye kucreate chances na kufunga ila hapati huduma stahiki, hivyo hivyo kwa Auba.
- Havertz ni muadhirika wa poor service providers walio pale katikati. Hata hao washambuliaji wengine kama akina Pulisic (Japo Pulisic hata-offer vitu vingi sana lakini abdo angetupa magoli 10+ kama tungekuwa na muunganiko mzuri wa timu pale katikati)
Na maeneo ya kufanyia replacement ni ameneo ya hao jamaa
- Azpi
- Jorginho
- Cheek
- Kante - Kwa sababu ya majeruhi - anavyozidi kuzeeka anaku more vulnerable to injuries
- Kovacic - Kachoka
- Ziyech - Ana uwezo mkubwa ila kaamua kuwa mjeuri
- Mendy - sidhani kama atarudi kwenye form yake ya 2020/21 na 2021/22 ( Hajitumi tena)
Let's live in the present.bring back our Heroes, Roman & Tuchel.
Hiyo namba moja niliwahi kusema. Kitendo cha kusafukuza au kuwaruhusu waondoke hao jamaa wote kwa pamoja tena kwa haraka vile hakikua na afya ndani ya club. Halafu sasa waliondoka na replacements zao hamnaBoehly kashaharibu, itamchukua misimu kadhaa kwa makosa yake matatu kurekebishika
Makosa ni haya
- Kaja kajifanya mjuaji wa mpira wa EPL -Kafukuza watu muhimu kwa haraka wakati hili lilitakiwa lifanyika taratibu na kwa tahadhari- kamfukua Predident, Marina na Cech. Kamfukuza pia Mkuu wa Pgysiotherapy. Kamfukuza pia Head Coach nk
- Kosa la pili Kafanya usajili wa kukurupuka kwa kutumia kocha mmoja halafu kocha mwingine anakuja kuwatumia wachezaji ambao hawakuwa chaguo lake
- Kosa la tatu kuchelewa kuziba nafasi muhimu kwenye timu upande wa ufundi
Mwamba kitasa huyu. Tunakosa mabeki kama hawa sasa hiviGary Cahill atundika madaluga akiwa na umri wa miaka 36, Alipokuwa Chelsea alikuwa one of best CB na Captain wa Chelsea. Tunakutegemea siku moja utarudi Darajani, nyumbani kwako.
Congratulations on an amazing career,
@GaryJCahill
!
View attachment 2418672
Exactly hayo yameshapita tugange yajayo[emoji16]....timu bwana Roman ameshaiuza bado watu wanawawazia[emoji1787]Let's live in the present.
Yote uliyosema sawa ila sio kwa AsenaliUsiongee vitu Kama umemaliza dunia , dunia inazunguka
Miaka ya 1980 ilikuwa ukisema U.S.A itakuja kuwa super power unaweza kupiigwa mawe, sababu ya USSR ilivyokuwa na nguvu , leo Nan anaweza kubisha USA sio super power , na USSR imebaki Urusi TU,
Miaka ya 1900s uchumi wa Japan ulikuwa sawa au kuzidiwa na TZ ,
Hakuna ambaye kipindi hicho itafika leo 2022 Tz inapambana na mgao wa umeme na maji, wakati Japan wanapambania Treni ya 1000km/hr
Miaka ya 2007 Manchester city ilikuwa timi ya kupanda daraja na kushuka , Chelsea ilikuwa kubwa kuliko mancity hata kimataji ya ligi , Nani atabisha leo Mancity anamkimbiza Chelsea kwa mataji ya ligi
USIISHI KWA KUKARIRI , UKITAKA KUAMINI KAANGALIE COMMENT ZAKO HUMU ZA USAJIRI HUU WA CHELSEA MWEZI AUGUST, NA COMMENT ZAKO ZA SASA
Mihemko na kutaka attention tu ndivyo vilivyomfanya aandike.Usiongee vitu Kama umemaliza dunia , dunia inazunguka
Miaka ya 1980 ilikuwa ukisema U.S.A itakuja kuwa super power unaweza kupiigwa mawe, sababu ya USSR ilivyokuwa na nguvu , leo Nan anaweza kubisha USA sio super power , na USSR imebaki Urusi TU,
Miaka ya 1900s uchumi wa Japan ulikuwa sawa au kuzidiwa na TZ ,
Hakuna ambaye kipindi hicho itafika leo 2022 Tz inapambana na mgao wa umeme na maji, wakati Japan wanapambania Treni ya 1000km/hr
Miaka ya 2007 Manchester city ilikuwa timi ya kupanda daraja na kushuka , Chelsea ilikuwa kubwa kuliko mancity hata kimataji ya ligi , Nani atabisha leo Mancity anamkimbiza Chelsea kwa mataji ya ligi
USIISHI KWA KUKARIRI , UKITAKA KUAMINI KAANGALIE COMMENT ZAKO HUMU ZA USAJIRI HUU WA CHELSEA MWEZI AUGUST, NA COMMENT ZAKO ZA SASA
Kwenye maisha weka akiba ya manenoYote uliyosema sawa ila sio kwa Asenali
Uliona mbaliMsimu huu mgumu sana kwa chelsea, sijui kama kuna lolote la kutegemea
[emoji1787][emoji1787]Achana na hayo matakataka ..sisi tuna deal na yetu ..huu msimu tubebe EPL maana uwezo tunao, Ari tunayo na Kasi tunayo.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji1787]Kama tukiweza kuwaleta darajani Sterling, Koulibaly, Cucurella, Fofana, De Jong na Chukwuemeka wote katika dirisha hili, basi inatosha kujenga sanamu ya Todd Boehly pale darajani
[emoji1787][emoji1787]Hivi kwa nini TT anavutiwa na wachezaji wa hovyo hivi. Mara Zaha mara Fofana
Hadi Sasa ujengewe SANAMU pale postaPrediction yangu kwa chelsea 2022/23
Tuche amalizi msimu mzunguko wa kwanza tu anapoteza kazi ndo hatakuwa kocha wa kwanza kupoteza kazi pale England.
Nafasi =5/6
Uefa = 16 bora
FA = semi final
Carabao cup = final lost 2_1
Top score = kai havertz 5 goals
Top asisst = stering 3
Mendy Clean sheet = 6
Kila msimu lazima timu kubwa moja ichemshe vibaya sana.
Kwa upepo naouona lile jini la manure lililo tutesa msimu ulio pita naona kila dalili linakuja kwenu mjiandae tu kisaikolojia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2312981