juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Katika kitu watu wanachoshindwa kuelewa ni upande wa recruitment, unaweza tumia hata 300M na stil ukaonekana mbovu, na ndio kitu kinachotutokea, kwa sababu hatukuwa smart kwenye recruitment,Potter anamdharau kivip, Wakati Huyo dogo kapewa nafasi Jana ? Unadhani Tuchel angekuja kumpa nafasi? Yule dogo mzuri ila anahitaji mech nyingi awe mzoefu, Zile chances mbili akiwa mzoefu anafunga bila shida Kama uliziangalia vizuri
Potter atawapa nafasi vijana ,tatizo mnampa presha Sana, kamsikilize Pep alichosema kuhusu Potter ,
Kwasasa Chelsea sio kununua tu ndio suluhisho tumeona summer mmespend £300m lakin wachezaji hawaendan kabisa ,
Potter anaonesha ana staili yake ya uchezaji hivo most of players hawafiti hivo lazima aletewe wengine ,na Yule dogo Lewis kwa nilivyomuona Jana anaweza kuanza kupewa nafasi
Majeruhi mlionao mnaodai Ni mapengo makubwa Ni wawili au watatu, mnatakiwa mkubaliane Kante,Kova sio Tena wakuwategemea ,kova anacheza mech 2 injury, Kante haihitaji kumuelezea ndio maana hata mkataba wa miaka miwili hawez kupewa.
Uhitaj utumie 70M ili upate mchezaj bora, kuna player wako bora kuliko hao wa 70M, ukiwa na scouting nzuri na ukawa na Technical director or Director of football mzuri, leo hii Pep anafaidi kwa sababu ya uwepo wa Txiki na Soriano,