Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naomba iwe line up ya 433 kwa sababu Koulibally sio mzuri kwenye back line ya 3. Na kiama ni 343 Potter ana kichwa kigumu. Kwa staili hii nami nitajitoa kumuunga mkono. Wachezaji tulionao hawafai kwa 343!!!!,
Jitoe kabisa maana ni 343 ndo formation ya leo
 
Bora niangalie JUA KALI ya Lamata may be ntaambulia kitu then baadae nirudie game yetu TAKATAKA RUBBISH RUBBISH game yenu
 
Kwa hii speed wanayokimbiza Newcastle wakienda nayo hivyohivyo mpaka dakika 90 tutegemee kuna kenge 2 au 3 zitafia uwanjani.
Kuna michezaji mizee ya Chelkenge imeshaanza kukata moto mapemaaa.
Kweli nimeamini kazi na umri.
 
Sisi hao
20221112_211328.jpg
 
Bonge la BAOOOOO

Olachuga like yako kwenye hili bao safi kabisa
 
Newcastle nawakubali kwa Sasa kila mechi Yao nafatilia Wenda ikatwaaa ubingwa Kam arsenal wakileta ujingaa mnk safri hi kipara wamesha msoma anapigika vzr tu ndani na nnje

Kudos timu ya kikwete, by the way umwambii kikwete chochote juu ya Newcastle
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom