lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,700
- 25,935
Tangu lini mtani akasaidia mawazo. Kununua lazima tuingie sokoni na bado tutampa potter azoeane na wachezajiPotter anamdharau kivip, Wakati Huyo dogo kapewa nafasi Jana ? Unadhani Tuchel angekuja kumpa nafasi? Yule dogo mzuri ila anahitaji mech nyingi awe mzoefu, Zile chances mbili akiwa mzoefu anafunga bila shida Kama uliziangalia vizuri
Potter atawapa nafasi vijana ,tatizo mnampa presha Sana, kamsikilize Pep alichosema kuhusu Potter ,
Kwasasa Chelsea sio kununua tu ndio suluhisho tumeona summer mmespend £300m lakin wachezaji hawaendan kabisa ,
Potter anaonesha ana staili yake ya uchezaji hivo most of players hawafiti hivo lazima aletewe wengine ,na Yule dogo Lewis kwa nilivyomuona Jana anaweza kuanza kupewa nafasi
Majeruhi mlionao mnaodai Ni mapengo makubwa Ni wawili au watatu, mnatakiwa mkubaliane Kante,Kova sio Tena wakuwategemea ,kova anacheza mech 2 injury, Kante haihitaji kumuelezea ndio maana hata mkataba wa miaka miwili hawez kupewa.
Tutanunua experience players kuziba nafasi zinazopwaya
Tutanunua pia academic kwa ajili ya kuja kujenga jeshi la baadaye