Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakati Tuchel ndani ya misimu miwili kashinda international cups 3 ,na kaingia fainali mbili za mashindano ya ndani .
Huyu jamaa ilikuwa mistake Sana kumfukuza and we shall retreat this , nimekuwa nikisema hili Halafu ukiangalia jamaa culture ya timu ilikuwa imemkubali ,nikikumbuka kipindi kile timu ina majeruhi halafu timu imepigwa sanctions ,pesa zimekuwa frozen ,jamaa anatoa kauli publicly kuwatia moyo wachezaji na mashabiki .
Thomas Tuchel alikuwa mtu sahihi kwa Chelsea ,kumuondoa ilikuwa big mistake aisee na itatucost Sana .
Huyu yankee cowboy Todd anadhani kuendesha football club ni sawa na kuswaga ng'ombe kwenye raches .
Kubali tu kila mtawala na watu wake mkuuu mbona unaendelea kupiga kelele na TT mkuu nyakati zake zimepita na inabidi usahau sa mkuu leo hii si utatamani kwann Drogba na harzad waliondoka au kustafu soka kwa Drogba muda wa TT AMetumika kama mtumishi muda wake umekwisha GP Nae atapita kila mtu muda wake utapita KUBALI MKUUU
 
Litimu lako lishabondwa viwili huko
 
JamiiForums-2113258012.jpg

Saint Anne umetoa pole kwa jirani zako hadi wanabomoa vibanda umiza huko 😂😂😂
 
Cha kushkuru mungu, tunaenda break ya world cup, atleast potter now atapata mda wa kuimplement tactics zake kwa kipindi hicho kwa wale wachezaj watakaobakia
 
Kinacho umiza ni kwamba potter ajifunzi kutokana na makosa yake ya nyuma, tunafanya same mistakes again and again, nakupata mitokeo yale yale, zawadi tunao weza kupata ya mwaka mpya kwa wana blues ni habari za kufukuzwa huyu chuck noris aende Hollywood, jama ni clueless.
 
Tunapitia wakati Mgumu kweli kweli. Ila naamini tutarudi tukiwa imara.
Ni vigumu kurudi tukiwa imara tukiwa na average kocha mwenye mentality ya midtable timu, huwezi kuniambia timu ilio fika robo fainali ya European champions league na baadhi ya wachezaji wale wale mwaka jana, kwamba ina hitajika kujengwa upya, hapana hiyo timu ni ya kuendeleza tu, ukiwa na kocha sahihi, huyu jama wetu wasasa hana uwezo wa top timu kama Chelsea
 
Ni vigumu kurudi tukiwa imara tukiwa na average kocha mwenye mentality ya midtable timu, huwezi kuniambia timu ilio fika robo fainali ya European champions league kwa baadhi ya wachezaji wale wale mwaka jana, kwamba ana hitajika kujengwa upya, hapana hiyo timu ni ya kuendeleza tu, ukiwa na kocha sahihi, huyu jama wetu wasasa hana uwezo wa top timu kama Chelsea
Msimlaumu,jamaa ameiokota timu njiani ikiwa hoi.
 
Kinacho umiza ni kwamba potter ajifunzi kutokana na makosa yake ya nyuma, tunafanya same mistakes again and again, nakupata mitokeo yale yale, zawadi tunao weza kupata ya mwaka mpya kwa wana blues ni habari za kufukuzwa huyu chuck noris aende Hollywood, jama ni clueless.
kocha wenu ni mbongo movie.
Kweli ng'ombe ni ng'ombe tu.
tapatalk_1860480160_474x438.jpg
 
Msimsaumu,jamaa ameiokota timu njiani ikiwa hoi.
Timu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom