Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Home na away mlimfunga city kwenye kombe gani mkuuTimu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.

