Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki wa Chelsea hatuna Shukrani misimu miwili iliyopita tumechukua UCL, SUPER CUP na CLUB BINGWA YA DUNIA.

Kutwa kukandia kocha na wachezaji, yaani mnataka kila msimu tubebe kombe ina maana timu nyingine hazina haki ya kubeba makombe?

Ina maana timu nyingine haziwekezi kwenye benchi la ufundi na wachezaji?

Tukubali tumevurunda kwenye mipango ya kiuwekezaji (Management na Wachezaji).

Tajiri TODDY BOEHLY atulie alete watu sahihi kwenye idara za uendeshaji club haswa idara ya ufundi ili isajili wachezaji sahihi kwa mahitaji sahihi ya kocha.

Nadhani tukijipanga vizuri kila idara (ufundi, scouting, utabibu) mbona THE BLUES tutarudi kwenye makali yetu.

Sasa hivi mtalaumu makocha na wachezaji mpaka mchoke.

Binafsi naona management/idara za club bado hazijakaa vizuri. Zinahitaji watu sahihi zaidi.
Mishabiki maandazi hiyo haina tofauti na Makolokolo ambayo kila siku yanataka kung'aa yao pekee utadhani mpira wanaucheza wao pekee duniani
 
Kila tumu ina mfumo wake wakupata trophies na ushindi mfumo wa CFC kupata ushindi ni wa 'out sourcing' kwa quick results wa ( hire and fire) tangu 2012 Chalsea imefanikwa kwa kufika final za champions league zaidi ya mara tatu, hatujawahi kusubili kujenga timu timu elisha jengwa na boss Abromovic na kajiwekea philosophy zake hi timu ijawahi ku-struggle FL aliteka eti kujenga timu kwa kutumia academy ya vijana alimshinda na kutimliwa

Mfumo wa Arsenal ni kujenga timu kutoka grassroot na Tangu 2011 mafanikio yao wana yajua wenyewe siwezi kuwasemea hapa mfumo wa Mancity ni kutafuta already made players nakuingizwa kwenye system yao, na mafanikio wa meyapata, sasa kwanini watu walazimishe CfC iwe kama Mancity aubArsenal wakati tuna phylosophy na tamaduni zetu, hakuna kocha mkubwa kuliko club kama Harry Potter hawezi kuinga na kuingia kwenye mfumo wa CFC aondoke.
 
Nafikiri hapa kuna kitu hujakielewa ndugu au unakielewa lakini hutaki kukikubali.

Philosophy unayoiongelea ilikuwa ya mmiliki wa zamani na sasa kuna mmiliki mpya nae anaweka utamaduni wake kwani anataka atambulike kwa namna yake.

Sasa wewe hutaki kukubaliana na mwenye mali wakati wewe ni shabiki tu. Jaribu kufikiri kama wewe umeniua nyumba kwa mtu je? Hufanyi marekebisho yanayoendana na matakwa yako??!!
 
Kila Bosi/Kiongozi/Mtawala na muundo wake mpya.
 
Nafikiri hapa kuna kitu hujakielewa ndugu au unakielewa lakini hutaki kukikubali.

Philosophy unayoiongelea ilikuwa ya mmiliki wa zamani na sasa kuna mmiliki mpya nae anaweka utamaduni wake kwani anataka atambulike kwa namna yake.

Sasa wewe hutaki kukubaliana na mwenye mali wakati wewe ni shabiki tu. Jaribu kufikiri kama wewe umeniua nyumba kwa mtu je? Hufanyi marekebisho yanayoendana na matakwa yako??!!
Kweli mkuu siwezi kubishana na mwenye mali ila cfc aliikuta na akainunua nzima inebidi afuata alicho nunua ili haweze kufanikiwa

Bahati nzuri ameshagudua kwamba alikosea kumtimua TT it was prematurely na kasama board itaka ifix hilo tatizo, hata kama kuleta utamaduni wake sio kutuletea mediocre kochi, very clueless ability yake ya kusoma match oko low sana
 
Sasa unachosimamia ni kipi unasema Chelsea philosophy ni hire and fire,mwisho unasema TT hakustahili kufukuzwa. Unatumia rules gani maybe kusema hire and fire haitumikiti tena? As if kwenye hiyo philosophy kuna terms and conditions ambazo unaona hizijatekelezwa. TT alifukuzwa, GP asipofikia malengo ya waajiri wake atafukuzwa. Then tueleze hire and fire kwa unavyoifahamu ni exclusive kwa TT? huna msimamo, huna hoja maalumu ila chuki na kocha ni proven. Na ulivyo kajanja maswali ya fact huwa hunajifanya huyaoni
 
Mkuuu kuna sehemu huelewi wap?
 
Ana umia utafikiri Dunia nzima yy ndio Chelsea funs peke yake
 
Huyu kijana jana alionyesha umahili, dribbling yake nzuri attacking excellent alikosa fasi mbili nzuri anaweza kua kama KDB wa Manicity ni mzuri kuliko loftus cheek, akipewa mda wa kutosha, lakini cha kushangaza porter almtoa na kuacha lofutus cheek na Pulisic ndani ndo maana nasema porter game reading yake ni poor hatufai.
Screenshot_20221110-155549_Facebook.jpg
 
Nilichoona game ya jana, Lewis ni bonge la mchezaji ila bado TT alimdharau na sasa Potter naye anamdharau
Ubora wa Ortega hadi akatangazwa MOTM ulimnyima Lewis magoli mawili ya wazi.
Nimeona pia kuwa Koulibally jana alipanic, hakucheza vizuri kabisa, butua butua zilikuwa nyingi, hakutulia, long ball zake nyingi zilifeli
 
Kwani hatujawahi kumfunga home and away hata kama sio epl ?
Mwezi April 2021 na May 2021 tulimfunga mechi tatu mfululizo ila sio home and away
April FA tulimfunga 1-0
May tukamfunga 2-1 EPL
hiyo hiyo May 2021 tukamfunga 1-0 UEFA Final
 
Msimu wa nyuma yake tulimpiga home and away akiwa na pep wao, msimu jana TT hakutaka ku press tukacheza defensive ndo lilo tu cost tu katoka 0-1 match zote mbili TT aka kili kwamba alikosea kwa kuto mpress huyu City kwasbb uwezo wakumchapa xity tulikua nao.
Mwezi April 2021 na May 2021 tulimfunga mechi tatu mfululizo ila sio home and away
April FA tulimfunga 1-0
May tukamfunga 2-1 EPL
hiyo hiyo May 2021 tukamfunga 1-0 UEFA Final
 
Usikaze ubongo mkuu. Kabla ya CL final nimekufunga home and away. Umekuja kulipiza kisasi baada ya Cl. Ukatufunga home and way goli moja moja. Tuliza wenge data zipo
Hakuna kitu kama hicho, tulimfunga city mara tatu mfululilizo ila sio ligi moja
17 April FA tulimfunga 1-0
8 May tukamfunga 2-1 EPL
19 May 2021 tukamfunga 1-0 UEFA Final
 
Kweli mkuu siwezi kubishana na mwenye mali ila cfc aliikuta na akainunua nzima inebidi afuata alicho nunua ili haweze kufanikiwa

Bahati nzuri ameshagudua kwamba alikosea kumtimua TT it was prematurely na kasama board itaka ifix hilo tatizo, hata kama kuleta utamaduni wake sio kutuletea mediocre kochi, very clueless ability yake ya kusoma match oko low sana
Kwani Chelsea imeacha kufanikiwa baada ya kufungwa mechi 3 tu, unajichora ndugu
January tukiziba mapengo na majeruhi wakirudi utajiona ulivyojichora. Chelsea ni timu pekee EPL ambapo wachezaji wake muhimu wote wako injuries na pia Summer hatukukamilisha kusajili, kiungo bado kabisa
REBUILDING IS A PROCESS
 
Nilichoona game ya jana, Lewis ni bonge la mchezaji ila bado TT alimdharau na sasa Potter naye anamdharau
Ubora wa Ortega hadi akatangazwa MOTM ulimnyima Lewis magoli mawili ya wazi.
Nimeona pia kuwa Koulibally jana alipanic, hakucheza vizuri kabisa, butua butua zilikuwa nyingi, hakutulia, long ball zake nyingi zilifeli
Potter anamdharau kivip, Wakati Huyo dogo kapewa nafasi Jana ? Unadhani Tuchel angekuja kumpa nafasi? Yule dogo mzuri ila anahitaji mech nyingi awe mzoefu, Zile chances mbili akiwa mzoefu anafunga bila shida Kama uliziangalia vizuri

Potter atawapa nafasi vijana ,tatizo mnampa presha Sana, kamsikilize Pep alichosema kuhusu Potter ,

Kwasasa Chelsea sio kununua tu ndio suluhisho tumeona summer mmespend £300m lakin wachezaji hawaendan kabisa ,

Potter anaonesha ana staili yake ya uchezaji hivo most of players hawafiti hivo lazima aletewe wengine ,na Yule dogo Lewis kwa nilivyomuona Jana anaweza kuanza kupewa nafasi

Majeruhi mlionao mnaodai Ni mapengo makubwa Ni wawili au watatu, mnatakiwa mkubaliane Kante,Kova sio Tena wakuwategemea ,kova anacheza mech 2 injury, Kante haihitaji kumuelezea ndio maana hata mkataba wa miaka miwili hawez kupewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom