Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,879
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukifungwa hata kuandika inakua ni shidaIla goli la Arse8 lilitokana na faulo aliyochezewa Silva ukiangalia kwa makini, lakini Kocha alikuwa wa Arse8 ndiyomaana kadi za njano zimetembea sana kwa Chelsea FC
Pep hawez kufundisha mchezaji Kama Auba ,havertz, hawawez hata kupressTuna wachezaji wa hovyo, ila pia kocha ana ujinga wake flani hivi.Kocha hawezi akawa anapaga joginho,havertz na chick. wachezaj wa hovyo kuwahi kutokea.
Kiosi hicho hicho akipewa pep,hakiwez kikacheza hovyo hivyo.
Umesema kweli werna mzuri kuliko sterlingFrom Lukaku to Auba
Alonso to Cucurella
Rudiger to Koulibaly
Werner to Sterling
Christensen to Fofana
Alafu eti tunajenga timu
Leo angekuwepo TT unafikiri angefanya nini? Last time tulivyocheza na Arsenal TT alifanya nini? Katika mil 300 alizospend alileta mchezaji gani wa kuimprove team? Tatizo la kuto create chances za kufunga alilisolve vipi?Toed should swallow his pride na amrudishe TT anusuru Chelsea, tangu mwanzo ni lisema huyu kocha wetu potter ni mzuri ila sio wa kiwango cha chalsea hawezi ku manage team ya top 4, mbinu ubunifu wake uko chini sana, hamna cha project wala cha ku-build hana uweza wa Chelsea
Hakuna mtu anayemdharau TT ila ilifika muda ilibidi aende tu. GP naye itakua ivyo ila lazima tukubali kila mtu kwa namna yoyote anahitaji muda kwe ye jambo fulani otherwiseutakua mtenda miujiza kutegemea kushinda katika game kama hizi na situation ya majeruhi kama wodi ya KCMC tuliyonayo darajaniTT apewe heshima yake hata kama alikuwa na shida sehemu mafanikio aliyotupa hakuna kocha alifundisha Chelsea kayapata
Hivi mnguelewa kweli kama angefanya hivi?Hiyo £300M bora TODDY angenunua jumba la kifahari.
Ila tajiri naye mapepe sana.
Huu msimu angeutumua kuisoma timu na club kwa ujumla na kuanza kuimplent mipango ya usajili kuanzia dirisha la January.
Hahahaa.. leo Alonso anasifiwa na wakati kuna kipindi humu alitungiwa jina akawa anaitwa ALONSLOW[emoji23][emoji23]Yani hakuna afadhali kabisa alonso alikuwa anatusaidia kwenye kushambulia na kufunga pamoja kukaba ilikuwa shida
Kwa bahati mbaya ndio haiwezekani mkuu. GP bado yupo yupoToed should swallow his pride na amrudishe TT anusuru Chelsea, tangu mwanzo ni lisema huyu kocha wetu potter ni mzuri ila sio wa kiwango cha chalsea hawezi ku manage team ya top 4, mbinu ubunifu wake uko chini sana, hamna cha project wala cha ku-build hana uweza wa Chelsea
Timua timua ya makocha haitotupeleka popote kwa sasa, tutaendelea na kuwa vile vile, Arsenal wako hapa walipo coz walimuamini Arteta n now matunda yanaonekana, Arteta kawatoa wale wote aliona haendani nao.Hakuna mtu anayemdharau TT ila ilifika muda ilibidi aende tu. GP naye itakua ivyo ila lazima tukubali kila mtu kwa namna yoyote anahitaji muda kwe ye jambo fulani otherwiseutakua mtenda miujiza kutegemea kushinda katika game kama hizi na situation ya majeruhi kama wodi ya KCMC tuliyonayo darajani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi yake ilitakiwa ZakaLofter-cheek hovyo kabisa
Generalization sio njema. Mhemko na hisia hazitakiwi. Chemistry ikiharibiwa na mchezaji mmoja muhimu au wawili timu nzima inaweza kuonelana hovyo. Bado mimi naamini kocha bado hajapatia ni chemistry ipi italeta matokeo mazuri. Pia bado formation na falsafa. Hii ya 433 naona itafaa kuliko 343 labda james, Kante na Chilwell wakiwepo uwanjani. tunahitaji addition ndogo tu. DM na cretive midfiel attacker aidha mmoja mmoja au wawili wawili. Tutahitaji pia RB/ RWB. Hawa wakipatikana utawaona akina Sterling, broja, auba hata pulisic na havertz wakifunga kwa urahisisio cheek tuu wachezaji wote ni ovyo
Majeruhi 8Lembua mpigie dada yako Olashoga muulize leo atalala wapi