Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,876
- 16,446
Leo koloboi anaanzia bench.
Natabiri leo kuna mchezaji wa AsaniWali ataumia vibaya mno.
Leo koloboi anaanzia bench.
Tatizo kikosi kilichocheza na Milan tofauti na leoNitashangaaa sana Chelsea akifungwa na Arsenal wakati Chelsea alimfunga Ac Milan nje ndani Tena na Clean sheet
Tumchukue CaicedoMaisha ya darajani yanakuwa powa huyu jamaa anapokuwa uwanjani. Hata UCL tulibeba baada ya yeye kuwa fit kwenye sehemu kubwa ya mashindano
View attachment 2408192
PopomaTumewazidi kila kitu but hatujascore tunaenda kujipanga kwa ajili ya second half
Una dk 25 zimebaki za kuendelea kushangaa maana umebaki kuombea droo unataka kulinganisha Ac Milan na Arsenal are you mentally fit?Nitashangaaa Sanaa. Tena sana, kufungwa kwa Chelsea Tena nyumbani kwake na Arsenal.