Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tutakuja kubaliana, shida huwa sio kocha bali ni wachezaj wetu.

Mpk tutakapokubali hapo na tukatatua matatizo tuliyonayo, ndio tutaweza anza kupigania makombe

Kwa sasa tuanze upyaaa tu, kwa wachezaj tulionao wakishatanguliwa tu hawawez kuequalize, au kufanya comeback ujue tunashida.

Tuna shida ya creativity,
 
Hata kuanza upya maybe director na jopo la usajili lipewe power kuliko kocha I can't imagine TT alisugest Sterling na Cucurella na 75£ kwa fofana yaani tumenunua wachezaji wabovu kuliko waliopo. Kwa kiwango hiki wachezaji wazuri tutawasikia redioni
 
OllaChuga Oc hali aliyonayo huko alipo
20220807_171824.jpg
 
Mmetumia eti £250m dah

Kweli pesa Sio kila kitu

Hivi kweli mmetumia £250m? Halafu mmenunua na nkuku atatumiaka 2023 kwa €60(£55m) jumla mmetumia £305m

Ndio mnacheza utumbo hivi,

Arsenal kufungwa Europa Tena anaongoza group mkapata upenyo wakuja kutupigia kelele

Haya next week tunakuja kuwafumua na kikos chenu hicho Cha £305m

Habari mbaya

Chelsea yet to play Newcastle, Arsenal, Liverpool and City
 
Next kwenye league
Arsenal (H)
Newcastle (A)

Nilisema mpl tunaenda world cup tutakuwa njee ya top 4, na isitoshe huenda tukawa nje ya top 6 mpk tunaenda world cup

Tukishatanguliwa zaidi ya goal 1 huwa hatuwez chomoa, huu ni ugonjwa tulionao.
Ww si ndio ulikuwa unaipamba hii timu ukasema inacheza vizuri na salzburg nikawambia inashinda kwa bahati hamna kitu
Nafikiri unaona hii aibu niliokwambia kocha naye aeleweki kwenye kupanga kikosi kila siku hana first 11
 
Ligi bado sana ndugu, hata uwiano wa point kuzidiana sio mkubwa sana
Chelsea ikipanda zaidi ya ilipo sasa ni miracle AU usajili wa maana ufanyike January. Kwa hii hii timu hatufiki mbali kwenye EPL na UCL
James hata akirudi hiyo January atacheza mechi 6 au 7 anarudi tena majeruhi. Ngolo Kante ndie biashara yake na Chelsea imeisha kwa sababu akirudi Hiyo February atacheza mechi 3 au 4 anarudi tena majeruhi hadi mkataba wake uishe. Kovacic ni spana mkononi. Silva kwa umri wake lazima apumzishwe mara kwa mara. Wachezaji waliobaki hawataifikisha Chelsea mbali. muwe mnachanganua kabla ya kuweka imani. Sterling na Auba wanacheza vizuri timu ikiwa sawa. Timu ikipwaya na wao wanapwaya.
 
Jamani hii ndio Chelsea tuliyonayo na uchezaji wake ndio huu
Tumeumizwa leo kupitia kwenye wings, Potter kaweka mawinga wawe mabeki unategemea wachezeje?
Kuna wachezaji kama Sterling ukimchezesha out of position usitegemee kitu
What next, Arsenal and Newcastle. Kwa timu hii mlenda tusitegemee makubwa
Top 4 naona imeshajiset to default. Sisi tusipoangalia hata top 6 tunaweza kosa
Haya makosa alikuwa anafanya Tuchel mpaka wachezaji wakawa wanalalamika Potter naye anarudia yaleyale
 
Ww si ndio ulikuwa unaipamba hii timu ukasema inacheza vizuri na salzburg nikawambia inashinda kwa bahati hamna kitu
Nafikiri unaona hii aibu niliokwambia kocha naye aeleweki kwenye kupanga kikosi kila siku hana first 11
Game zinabadilika mkuu kuna game huenda ukacheza vizuri game ijayo ikawa hovyo, tukicheza vizuri nitasema

Ila before hata game ya salzburg nilisema game 3 zijazo ni ngumu na uwenda mpk tunaenda world cup tukawa tuko njee ya top 4
 
Haya makosa alikuwa anafanya Tuchel mpaka wachezaji wakawa wanalalamika Potter naye anarudia yaleyale
Naona ni wachezaj wenyewe, ukiangalia potter wakat yuko brighton wale wakina Trossars unaona kabisa ni kama wingback ila majukumu ya uwanjana yanabadilila sasa wachezaji wetu hawatak kufata hayo majukumu.

Angalia trossard anavyocheza uone, halaf wale wakina sterling o pulisic uwapange vile hawawez kupa hata theluthi ya anachokupa trossard.

Wachezaj wetu hawako tayar kuadapt, mfano mzuri ni zinchenko city walimsajil kama mid ila baadae pep akawa anamtumia kama LB na kazi anafanya ipasavyo ila sisi wachezaj wetu uwatumie kama Wingback uone sasa atleast Loftus cheek anaweza jitahid
 
Haya makosa alikuwa anafanya Tuchel mpaka wachezaji wakawa wanalalamika Potter naye anarudia yaleyale
Kma TT Alikuwa anafanya haya makosa basi kuna shida kubwa sana kwenye timu yetu mwalimu akisha ingia tu Chelsea anapigwa na ujinga basi tu haiitaji kocha mpya tena na tujiondoe kwenyw makombe tucheze kma Leeds tu
 
Shida ni wachezaji, mchezaj anaweza mshawishi kocha akipewa nafas ile ile anazingua,

TT alimtumia Loftus Cheek kama RWB na kila alipkuwa akimtumia anaperform vizuri, ila hawa wengine ni maji kupwa maji kujaa,

Kuna wachezaj wamebadilishwa nafas na wanaperform utasema ndio nafas na wanajituma ipasavyo
Muangalie Joelinton huyu alisajiliwa kama no 9 palw newcastle ila Edd Howe alivyoingia akawaanamtumia kama kiungo ona kazi anayofanya na anavyojituma, muangalie zinchenko city walimsajil kama kiungo ila baadae wakawa wanamtumia kama beki wa kushoto, angalia jinso anavyojituma akiwa anacheza position hiyo.

Wakina kimmich anatumika from rb to dm na anafanya vizuri coz wanajituma ila sisi sasa wachezaj wetu hakuna chochote wanachokifanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom