Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachezaji wetu wana uchovu mkubwa wa kucheza mechi nyingi (EPL + UCL) mwezi huu.

Brighton wanatumia advantage ya uchovu wetu kutufunga.
Sisi Arsenal ze gunners tunacheza EPL,CALABAO,FA,EUROPA,EMIRATES CUP, nabado tunaongoza ligi na wala hatulingi......

Wewe vimechi viliwili vya mzunguko hko na vitimu vya australia unalalamika uchovu khaaaaaaaa.....

Brighton nipigie hii cheltako 5 tu zatosha
 
Uchovu sio sababu kubwa
Sababu kwa maoni yangu
  1. Line up imeborongwa na GP
  2. Approach ya Brighton ni9 ile ambayo Chelsea huwa haiwezi, High pressing anaiweza Kante tu. Na uykitaka kujua kuwa ni high pressing ambayo Chelsea hawaiwezi, magoli mawili own goals
  3. Chelsea ni mlenda uchezaji wao, kwenye mechi na Salzburg tulisema Chelsea walionekana wazuri kwa sababu ya Salzburg walikuwa ni wabovu. Sasa leo timu ni ile ile formation ni ile ile waliocheza na RB Salzburg na wakabugizwa 3 - 0 hadi HT
Ushauri kwa GP
Arudishe natural wing-backs au LB na RB Chilwell na Azpilicueta (Afadhali mara dufu kuliko Pulisic)
Arudishe back 4 kwa sababu hatuna wachezaji wa kucheza back 3
 
Potter anaendekeza uzawa...kikosi cha chelsea kimejaa wachezaji wa kiingereza ambao tunajua kuwa hawana vipaji vya soka.

Leo formation yake ya kucheza na beki watatu imebuma
 
Kuna nini huko
IMG_20220830_235728.jpg


Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Potter leo kazingua huwezi kuchezesha beki watatu na viungo namba nane watatu ukategemea timu itakuwa na balance kwenye defence. Tunazidiwa sana kwenye transition
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom