Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mna uhakika chelsea ni timu ya mpira kweli.
20220406_210348.jpg
 
Tatizo lako huna msimamo unahamahama wewe ni kigeugeu nilisema mapema tunafungwa kwa kuweka walinzi watatu..... ukasema eti ulinzi shilikishi ndo habari ya mjini, huyu Loftus cheek afanye ulizi gani, sasa hivi ndo umeanza kuliona.
Wewe hujui hata mpira, hatufungwi kwa sababu ya walinzi watatu
 
Nyuma Cucurela ni mzigo na kwenye wing-backs out of position, winga ndio wamefanywa mabeki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom