computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Mnafungwaje 4 mafala?Potter katolewa bikra heheheheheh
Mkuu sijui kwanini ila mi naanza kuona huu ni utoto uliopitiliza. Acha haya bhana mi naamini we ni zaidi ya hii kituNaitwa Dennis Zakaria ina maana Potter hanioni au dharau?
Wacha niendelee kula mshahara bure nyamnyam.View attachment 2401334
Kuna wakati namuona jog ni mtu na nusu












Ligi bado sana ndugu, hata uwiano wa point kuzidiana sio mkubwa sanaJamani hii ndio Chelsea tuliyonayo na uchezaji wake ndio huu
Tumeumizwa leo kupitia kwenye wings, Potter kaweka mawinga wawe mabeki unategemea wachezeje?
Kuna wachezaji kama Sterling ukimchezesha out of position usitegemee kitu
What next, Arsenal and Newcastle. Kwa timu hii mlenda tusitegemee makubwa
Top 4 naona imeshajiset to default. Sisi tusipoangalia hata top 6 tunaweza kosa
Spurs amepindua meza kipindi cha pili, kamtandika Bournemouth 3-2Spurs huko nako hali tete 2-0