Wewe tatizo lako ni kubisha tu, hutaki kujifunza kwa wenzio jitahidi uwe kama wenzio hapa kwenye platformWewe hujui hata mpira, hatufungwi kwa sababu ya walinzi watatu
Dah, hapa ngoja nchekeWachezaji wetu wana uchovu mkubwa wa kucheza mechi nyingi (EPL + UCL) mwezi huu.
Brighton wanatumia advantage ya uchovu wetu kutufunga.














Chalobah vipi ukoUlinzi shirikishi wa CB 3 ndio habari ya mjini. Chalobah katika mechi 31 aliyocheza Chelsea hadi sasa Chelsea haijafungwa. Leo Chelsea isipofungwa ni game yake ya 32 akiichezea Chelsea mfululizo bila kupoteza mchezo



Wewe umejifunza kwa nani tangu lini, naonaga unaona wewe tu correctly, ukizidiwa unapotea. Kama unatoa uchanganuzi wa kwa nini point yako corect hakuna atakayewkubishia kama una mantic. Ila wewe uje tu na kusema kwa sababu ya mabeki watatu tunafungwa. nani anakuunga mkono?. Kosa la kufungwa ni tofauti kabisa na mabeki matatu. Au ungesema kwa wachezaji waliopo GP angeweka CB wawili ungeeleweka kwa sababu hawa Wing-backs waliowekwa wametuuza hawawezi kukaba. Sterling hawezi kukaba na Pulisic hawezi kukaba. Tuseme tu Poter leo kavuruga lineup yote kuaznia kwa ma fullbacks hadi mbele. Hata akirekebisha HT it is too lateWewe tatizo lako ni kubisha tu, hutaki kujifunza kwa wenzio jitahidi uwe kama wenzio hapa kwenye platform
Uchovu ndio nini?Brighton 3 - 0 UCHOVU






Ilibaki kidogo nikushikishe ukuta wa daraja. ukaonewa huruma. Pungiza maneno.



Nyie Kenge mnanajisiwa vizuri mno leo na Brighton. 























