Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumbe akina Omari Hutchinson, Cesare Casadei, Dylan Williams na Mason Burstow hawataweza kuchezea Chelsea kwenye UCL List B kwa sababu za sheria za UEFA? mchezaji anayeruhusiwa kisheria kuwepo kwenye list B ni lazima awe amezaliwa 2001 au kabla ya hapo kwa wachezaji wenye umri wa kati ay 15-21
Wachezaji walioqualify kuwepo kwenye list B ni Broja, Lewis Hall na Charlie Webster.
Kwa hiyo kwenye mechi na Dinamo hao wachezaji hawataweza kucheza ila akina Broja, Lewis Hall na Charlie Webster wanaruhusiwa kucheza
 
1666811928031.png
 
Eti Barcelona wameamua kumfanya Alonso CB, hivi hawamjui Alonso nini. Wameshabigizwa goli na Mane
 
Mateo Kovacic Majeruhi 50/50 kucheza kesho
Misuli yake inakaza kidogo
 
Chelsea ikishinda mechi yake ya kiporo itakuwa na point 24 kuanzia hapo tutang'ang'ania nafasi yetu ya 3 hadi ligi iishe
January Mungu akiwa upande wetu tukasajili kiungo atakayetuliza meli hapo kati basi tunadai na sisi EPL
 
Premium League imetangaza mechi za krismasi na mwaka mpya

Kutakuwa na mechi 7 siku ya tarehe 26 Desemba baada ya mechi za tarehe 13 Novemba. Hapo katikati ni fainal za kombe la dunia kule Qatar

Hakuna timu itakayocheza mara 2 ndani ya masaa 48 kama ilivyotokea huko nyuma

Sisi Chelsea hatutakuwa na mechi tarehe 26

Monday, 26 December

Brentford v Tottenham (12:30 GMT)

Crystal Palace v Fulham (15:00)

Everton v Wolverhampton Wanderers (15:00)

Leicester City v Newcastle United (15:00)

Southampton v Brighton & Hove Albion (15:00)

Aston Villa v Liverpool (17:30)

Arsenal v West Ham United (20:00)

Tuesday, 27 December

Chelsea v Bournemouth (17:30)

Manchester United v Nottingham Forest (20:00)

Wednesday, 28 December

Leeds United v Manchester City (20:00)


Friday, 30 December

West Ham United v Brentford (19:45)

Liverpool v Leicester City (20:00)

Saturday, 31 December

Wolverhampton Wanderers v Manchester United (12:30)

Bournemouth v Crystal Palace (15:00)

Fulham v Southampton (15:00)

Manchester City v Everton (15:00)

Newcastle United v Leeds United (15:00)

Brighton & Hove Albion v Arsenal (17:30)

Sunday, 1 January

Tottenham Hotspur v Aston Villa (14:00)

Nottingham Forest v Chelsea (16:30)

Monday, 2 January

Brentford v Liverpool (17:30)

Tuesday, 3 January

Everton v Brighton & Hove Albion (19:45)

Leicester City v Fulham (19:45)

Arsenal v Newcastle United (20:00)

Manchester United v Bournemouth (20:00)

Wednesday, 4 January

Southampton v Nottingham Forest (19:30)

Leeds United v West Ham United (19:45)

Aston Villa v Wolverhampton Wanderers (20:00)

Crystal Palace v Tottenham Hotspur (20:00)

Thursday, 5 January

Chelsea v Manchester City (20:00)
 
Sisi kama Brighton tuna jambo letu leo tutawafundisha mpira hata draw cheltako hupati
Cheltako mkiongoza ligi hata Sekunde mniite mbwa nimekaa pale
Leandro Trossard, Moises Caicedo, Maupay, Adam Lallana na Danny Welbeck wanaenda kuzivua blauzi hizi kenge za darajani.
Leo ndio watatambua kua Harry Potter ni kocha au muigizaji wa Hollywood.
Screenshot_20221029_121732.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom