Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
View attachment 2394989
Ananikumbusha jamaa mmoja anaitwa Junior lokosa

Huyu na yule wa Liverpool Arthur melo Ni sajiri za kitapeli, Liverpool kaambiwa lipa mshahara wake mtumie ,kufika England ,jamaa injury ya miez mitatu 🤣🤣 juve wanachekea chooni
 
Jog ndio anafanya mipira isifike kwa mastrikers. hovyo kbs. Akipata mpira badala y kugeukia golini kw wapinzan yeye anageukia golini kwake.
Hivi mnayoyasema kina Graham Potter hawayaoni. Mbona Jog yupo tu.

Assume leo hajafunga goli kiwango vhake umekionaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ratings inaonyesha Cucurella kacheza mbovu sana kwa kiwango cha 4/10. Ana shida gani huyo dogo. Hajazoea wenzako bado na huku tumemnunua kwa mahela mengi
Inaonyesha pia Auba na Sterling wamecheza mbovu kwa 5/10
Kaingia Pulisic hakucheza vizuri sana kwa 5/10
Kova kaingia kacheza vizuri kidogo kwa 7/10
Pia Kepa na Silva na Chaloba inaonekana wamecheza vizuri kiasi kwa 7/10
Waliobaki
Azpi, Mount, Cheek, Chilwell, Jorginho wamecheza very average by 6/10 wakiwemo sub za Broja na Chukwuemeka
 
Mkuu leo amecheza vizuri sana, tutegemee consistency hii iendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Jo hapana. Mimi composure yake siipendi kabisa. Anatucheleweshea ushindi. Mchezaji asiye na mentality ya kushambulia na hata kukaba hawezi. Pasi za nyuma tu ndio zimemkaa. Kupoteza mipira hovyo kwenye eneo la hatari! Katika safari ya kuijenga timu, Jorginho tusimuweke, hatatufaa kule mbele. Sasa anaweza kutufaa kwa sababu hatuna mbadala

Ratings zinaonyesha kacheza very average kama alivyocheza Cheek, Azpi na Chilwell
 
Tunahitaj viungo wapya hata wa 3, 1 kama dm mwingine kama cm au b2b, mwingine kama no 10,
Tangu aondoke fab,Mata hata Hazard sio mtu mchezaj wetu anayeweza kuwa na jicho la ziad la kutengeneza nafasi

Tunahitaj back up ya James,

Hii tim now inahitaji Rebuild ya hali ya juu na tuanze na trust the process,

Wachezaj tulio nao hawawez tupeleka nchi ya ahadi,
Tumejaza Average player wenye majina na si Quality,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom