Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20220420_231115.jpg
 
Sub ya pulisic n Chukwumweka ilikuja changamsha tim,
Pulisic anafaa kuanza baadala ya havertz

Havertz inabidi akaze wengin, dhid ya tim kubwa anacheza vizuri ila sasa dhidinya hiv vitim vidogo anacheza hovyo.

Broja aboreshe kwenye maamuzi yake ya mwisho kuna chance anapata inabidi atoe pass o a shoot na sikurudisha mpira nyuma
 
Hawa kenge wameanza tena viburi nini ? Maana ile ndio kawaida Yao akina kocha mpya wanakiwasha kweli akizoea kidogo wanaanza mauvivu na upuuz
 
Huyu Potter sioni kama yuko serious kwenye kuipa timu matokeo maana tangu amekuja amekuwa hana first 11 yeye anafanya majaribio kila mechi

Hajui kama sisi mashabiki tunataka matokeo na sio majaribio yake akafanye mechi za carabao na Fa sio mechi za ligi au Uefa
 
Kepa anafanya Kaz kubwa Sana ,tunamsubiri November 6

Martinell Jesus saka

Hawa wanaingia Hadi kwenye box ,zinapigwa sambusa ,halafu zinapigwa TAP IN tu

Mendy alikuwa msumbufu Sana , ila alikuwa akikutana na Smith Odegaard Saka

Wanamfanyia TAP IN ,Game 4 mendy kapigwa goals 11, Sasa naona KEPA amekuwa anafanya save za hatari ,Tunamngoja November 6 hapo Darajan
IMG_20221011_152501.jpg
 
Huyu Potter sioni kama yuko serious kwenye kuipa timu matokeo maana tangu amekuja amekuwa hana first 11 yeye anafanya majaribio kila mechi

Hajui kama sisi mashabiki tunataka matokeo na sio majaribio yake akafanye mechi za carabao na Fa sio mechi za ligi au Uefa
Sasa kocha mgeni atatoa wapi first eleven????
Au ulitaka adese ya TT???
Kocha yeyote kwa ugeni wake lazima awape wote fursa ili awajue wachezaji nani anafaa wapi na kwa muda gani
Kwa GP hizi mechi za mwanzoni ni preseason yake
Hata TT alipokuja na ugeni wake alifanya hivi hivi na wachezaji walicheza vizuri kwa sababu kila mchezaji alitaka kujionyesha kwa kocha. Kwa potter kinachotokea ni hiki. Wachezaji wanacheza vizuri kocha awaone, wakishamzoea wachezaji kadhaa wanarudi back to deffault
Tunahitaji kusajili
  1. Pulisic
  2. Havertz
  3. Jorginho
Sio wa kuwategemea hata sasa hivi wakituonyesha viini macho, watarudi walikoishia kwa TT hivi karibuni
 
Kuna mtu alinicrush Sana humu niliposema hivi
Galagher hajajeruhiwa, just illness. Hata hivyo sidhani kama mkuu wa Physio therapy kaajiriwa kwa sababu yule wa akina Marina alifukuzwa kazi
 
Huyu Potter sioni kama yuko serious kwenye kuipa timu matokeo maana tangu amekuja amekuwa hana first 11 yeye anafanya majaribio kila mechi

Hajui kama sisi mashabiki tunataka matokeo na sio majaribio yake akafanye mechi za carabao na Fa sio mechi za ligi au Uefa
Mashabiki kama wewe hasara mno...

Hivi fixture ya October umeiona ilivyo?

Tunacheza na Man U weekend halafu Dynamo Zagreb j4.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom