Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hili ndilo wanalolingojea hawa washika bunduki..kumbe bunduki zenyewe ni SAR (esiaraa) za sherehe tu...

ImageUploadedByJamiiForums1387807903.306508.jpg
 
Na bet mke wangu na asernal fan yeyote yule,Leo Chelsea tunashinda 4,lakini masharti na wewe umeweke hata Dada yako
 
Leo lazima asernal tumkalishe saba bila!

Mwanangu nimeanza kuwambia Hawa Watu muda mrefu nilikwenda kwenye Uzi wao nikawakuta Wote wamejificha darini! Teh Teh teh! Eti Washikabunduki' bunduki yenyewe Gobole!
 
Na bet mke wangu na asernal fan yeyote yule,Leo Chelsea tunashinda 4,lakini masharti na wewe umeweke hata Dada yako

@mwekundu hata demu tu huna..lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hahahahahahahahahahahahahahahahahaha

Ila mimi mshika bunduki yeyote yule anayepataga lunch yake maeneo ya POSTA DSM kesho anidai lunch worth 20,000/- iwapo watashinda...!!!
 
Lunch haiumi kitu mke kama unabisha Muulize mushi
 
Tumecheza mpira mbovu sana chelsea!Tunahitaji mtu anayejua kuchungulia nyavu kama Suarez.Kuna wakati huwa najuta kwanini tulimuuza Sturridge
 
hata km tungekuwa na suarez sidhani km angeweza kubadili matokeo. mou mzinguaji tu mi siwezi kuwalaumu wachezaji ila naamini mou ndo atakuwa aliwaambia wacheze mpira wa kulinda na kufanya shambulizi za kushtukiza. mechi imeniboa sn na tubishe tukatae mou kaishiwa mbinu na chelsea kuchukua ubingwa ni ndoto. hata akimsajili mtu km falcao kwa uchezaji wake hatafanya chochote. inaudhi timu inawachezaji mahiri lakini anakiogopa kikosi km cha arsenal
 
Sturidge kwa style ya Chelsea hawezi pia, very few strikers can cope with the Blues including Radamel Falcao, Luis Suarez, Wayne Rooney and Diego Costa
 
Mpira mzuri kacheza nani? Kama Arsenal wamecheza mpira wa maana mbona hawajashinda?
Kwani ubingwa wa ligi wamewekewa Chelsea peke yao?
Anayeongoza ligi ni Liverpool = 36.
Chelsea = 34 sasa sijui ubovu wa kocha hadi afukuzwe unatoka wapi?
 
Mfarisayo unaruhusiwa kumchukia Mourinho, kama ilivyo kawaida ya "mafarisayo". Lakini ni lazima ukubali takwimu hizi hapa kwa msimu huu tu;

Man United 0 - 0 Chelsea(Old T)
Tottenham 1 - 1 Chelsea (White H. Lane)
Chelsea 2 - 1 Man City (at the Bridge)
Arsenal 0 - 0 Chelsea (emirates stadium)

*Bingwa anawafunga mabingwa wenzake..ni kweli tunafungwa na Stoke, Sunderland, nk. lakini sisi huwa hatufungwi kirahisi na wale ambao tunashindania nao ubingwa. Respect The Blues, respect Chelsea: We are the Champions.
 
Linganisha na takwimu za 'bingwa mtetezi' kwa msimu huu dhidi ya wapinzani:

Chelsea 0 -0 Man Utd (old t)
Liverpool 1- 0 Man Utd (anfield)
Man City 4 - 1 Man Utd (City of Manchester)
Man Utd 1 - Arsenal 0.

kwa hiyo katika mechi hizo dhidi ya 'the top 4' umepata pointi = 4.
 
Mfarisayo unaruhusiwa kumchukia Mourinho, kama ilivyo kawaida ya "mafarisayo". Lakini ni lazima ukubali takwimu hizi hapa kwa msimu huu tu;

Man United 0 - 0 Chelsea(Old T)
Tottenham 1 - 1 Chelsea (White H. Lane)
Chelsea 2 - 1 Man City (at the Bridge)
Arsenal 0 - 0 Chelsea (emirates stadium)

*Bingwa anawafunga mabingwa wenzake..ni kweli tunafungwa na Stoke, Sunderland, nk. lakini sisi huwa hatufungwi kirahisi na wale ambao tunashindania nao ubingwa. Respect The Blues, respect Chelsea: We are the Champions.

really???i thought MAN UTD ARE THE CHAMPIONS....
 
Uchambuzi mzuri! Sisi ni mabingwa tu! Hawa washindani wetu lazima tuwaduge na Bado LFC tarehe 29 Yani yeye Ndo tuna msafisha kabisa!
 
hata km tungekuwa na suarez sidhani km angeweza kubadili matokeo. mou mzinguaji tu mi siwezi kuwalaumu wachezaji ila naamini mou ndo atakuwa aliwaambia wacheze mpira wa kulinda na kufanya shambulizi za kushtukiza. mechi imeniboa sn na tubishe tukatae mou kaishiwa mbinu na chelsea kuchukua ubingwa ni ndoto. hata akimsajili mtu km falcao kwa uchezaji wake hatafanya chochote. inaudhi timu inawachezaji mahiri lakini anakiogopa kikosi km cha arsenal

Umekosea reginahope,

Mourinho's style is score but concede less..hilo ndilo huwa lengo lake kuu! Now he thrived sana when he had Drogba, mtu mwenye nguvu na akili ya mpira tofauti na mspanyiola Torres.

Kama uliangalia vizuri ilifika kipindi forwads awampi tena passes kwani hata ingekuwa wewe ungekata tamaa kati ya pasi kumi alizopewa kapoteza nane.

Mourinho ana akili sana, na ofcourse kama mshabiki una haki ya kuona kakosea ila jitahidi sana kuona the big picture.
 
Last edited by a moderator:

kwanini hamrudishi LUKAKU ua kwanini hampangi DEMBA BA???kuna washabiki wa Chelsea niliwaambia kosa kubwa sana kumuuza D.STURRIDGE angewasaidia sana.....

angalia list ya wafungaji premier:
suarez 19
aguero 13
sturridge 9[ana muda yuko benchi majeruhi]
lukaku 8
hazard 6

torres sijui hata ana magoli mangapi....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom