Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Ongeza Ab-Titchaz na Maxence Melo
Mtakula jeuri yenu tu nyie....lol. Tusubiri hio jumatatu basi!
Ongeza Ab-Titchaz na Maxence Melo
Sijasema kuwa Benitez ndie alieanza kuwatumia 3 Amigos, kumbuka aliwakuta pale darajani. Ila aliweza kuwatumia ipasavyo. Benitez aliweza hata kumtumia Torres vizuri na ndio maana akaanza kurudisha confidence na kuanza kuwanyoa watu. Mimi sio fan wa Chelsea but I was so amused by the brand of football that Chelsea displayed under Rafa. They were playing attacking football in which they would put enormous pressure on their opponent's defense until that defense cracked and eventually collapsed and then goals start to flow in. Their fluid passing was so amazing and entertaining even more than Barca. Nobody wanted to face the 3 Amigos and Chelsea last year."the three amigos" aliyeanza kuwatumia alikuwa Roberto Di Matteo (#16) siyo Rafa Benitez, wewe utakuwa mtu wa kukodiwa ukimshabikia Benitez, tulitoka 2-2 na Liverpool mwezi wa 4 kwa sababu ya Benitez..tulikuwa mbele akamtoa Hazard akamweka Benayoun! Humdanganyi mtu yeyote humu ndani, fikiria kabla ya kupost SHERRIF
Jose anaharibu timu na hajui anachokifanya! Mtabisha sana lakini ndio ukweli wenyewe.
Chelsea ya Benitez ilikuwa inacheza mpira wa kuvutia sana na walikuwa wanaflow na kutiririka yaani ilikuwa timu inatisha. Benitez aliwaanzisha 3 Amigos (Oscar, Matta and Hazard) nyuma yao wakisaidiwa na Ramirez na Luiz, mbele alimweka Torres/Demba na wote walicheza dakika zote 90 na walikuwa wanatisha sana. Hakuna mtu alitaka kukutana nao.
Leo hii Chelsea defense iko vulnerable, 3 amigos hawachezi tena pamoja, mpira wao ni wa kujihami hami tuuu na sio ule wa attacking and fluid passes. Under Benitez mpira ulikuwa ukivuka half yao haurudishwi nyuma na ilikuwa ni kushambulia tuu.
Huyo Tim Cahill ni mzigo kule nyuma.
Azipuculeta naona anakimbiakimbia tu na sioni anachokifanya.
Luiz anawekwa bench, sawa ingawa kaumia.
Matta anakaa bench.
Yule mjerumani sijui Scherlhe yuko very average.
Angalau Willian anatia moyo. Chelsea ya Benitez was far much better than Jose's.
Arsenal wana chance kubwa sana ya kushinda, labda tu mzee wao wa kigugumizi (Metusacker) ndie mzigo na anaweza akasababisha dozi kule nyuma.
All in all I think Arsenal has a better chance of beating Chelsea in the upcoming showdown.
you must be kidding! Usitake kuniambia kuwa under Rafa, Liverpool ilikuwa inacheza mpira mzuri zaidi kuliko inavyocheza sasa.
Kama bado Rafa angekuwa Chelsea, wangekuwa wako huko chini kama Man Utd.
Chelsea wanacheza vibaya lakini wako up there na hizo timu zinazofanya vizuri. Vipi sasa wakianza kufanya vizuri?
It is a naked fact kuwa unlike Rafa, Mourihno ni kikwazo kikubwa kwa timu nyingine kushinda ligi kirahisi.
Bila na kuwa na Rafa either kama manager wa Liverpool au Chelsea kumeifanya ligi iwe more balanced and interesing.
Rafa kaiharibu Liverpool, tena vibaya sana. Sasa ndio at least tunaiona the Liverpool we used to know.
Sijasema kuwa Benitez ndie alieanza kuwatumia 3 Amigos, kumbuka aliwakuta pale darajani. Ila aliweza kuwatumia ipasavyo. Benitez aliweza hata kumtumia Torres vizuri na ndio maana akaanza kurudisha confidence na kuanza kuwanyoa watu. Mimi sio fan wa Chelsea but I was so amused by the brand of football that Chelsea displayed under Rafa. They were playing attacking football in which they would put enormous pressure on their opponent's defense until that defense cracked and eventually collapsed and then goals start to flow in. Their fluid passing was so amazing and entertaining even more than Barca. Nobody wanted to face the 3 Amigos and Chelsea last year.
Then kaja huyu anajiita "the special one" kaharibu kila kitu. The only game nimependa so far ni Chelsea walicheza vema ni siku walipomtungua Man City.
Kama mnampenda sana Rafa si mumrudishe Liverpool?
Usiweke maneno mdomoni mwangu. Wapi nimesema Pool under Rafa walikuwa wakicheza Moira mzuri?
Wewe wasema
Go get Di Canio to replace Jose ASAP before Totenham secure his services🙂Let's enjoy the league without Rafa. It is much better without him.
Precisely my point!Akiwa pool walikuwa wanacheza vibaya lakini akiwa chelsea, wakacheza vizuri. Ndio argument yako?
Europa inamfaa zaidi Rafa. He will win it again next year
Naam ile siku imewadia ya kwenda Emirates kuchukua point 3 za bure!
Chelsea waduge Hao watoto wakazisahau na ndoto zao za utoto za kuota ubingwa ata nusu ya ligi hawajafika!
Viva chelsea
Viva happy one!
nyie wachovu hamna mpira wa kuwafunga GUNNERS leo.....
![]()
Let history speak...
Hiv Arsenal walishawahi kuifunga Chelsea chini ya Mourinho? Ngoja tuwapige sita na sisi ndiyo akili iwaingie vizuri.
Hili ndilo wanalolingojea hawa washika bunduki..kumbe bunduki zenyewe ni SAR (esiaraa) za sherehe tu...