TCleverly punguza ubishi. Nimesema "yes! We are the champions" kutetea hoja nimekuambia ubingwa wa Europa League.
Hizo stats unazotaka kutaja[Man 0-0Chelsea, City 1- 2 Chelsea, Spurs 1-1Chelsea, Arsenal 0-0Chelsea zinathibitisha kwamba Mou ni bonge la kocha] nimezitaja nilipokuwa namjibu Mfarisayo hoja yake ya kusema Mou hafai..jifunze "analysis"
Mkuu ukimuona mtu anachuki na Mourinho ujue Hiyo ni chuki yake binafsi!
Mou atabaki Kua kocha bora tu watake wasitake! Na ubaya kubishana Kwa maandishi ni Kz sn Lakini Mourinho ndio aliye leta mapinduzi ya soka Kwa ulaya na kufanya soka iwe ya ushindani sn! Historia iko wazi Kwa makubwa aliyofanya Jose kuanzia Fc Porto, Chelsea Mara ya kwanza Internazionale, Real Madrid! Na pia game kubwa km Elclassico pia game kubwa za Ligi ya Italy na za UEFA na Chelsea dhidi ya Man Utd, Arsenal, LFC, Barcelona, B Munich etc.
Kwahiyo ukiangalia safari yote ya Jose basi utajua Jose ni nani!
Game nazokumbuka sn Chelsea chini ya Jose ni zili chelsea dhidi ya Barcelona na dhidi ya LFC na Man Utd!
Arsenal alikua sio Adui yetu sn vile!
Akiwa Italy ndio alimaliza zama za ufalme Wa Ac Milan na Akawa bingwa Wa ulaya!
Na Spain akazima utawala Wa Barcelona na kumfanya Guadiora kukimbia Laliga!
Sasa karudi nyumbani na akiwa jiani kurudi Kibabu Wa Man Utd akaona atundike daluga juu!
Kwa kifupi ligi ni ngumu sn msimu huu na pia mpinzani mkubwa ni Man city ! LFC mpk january ktkt tutajua nguvu yake ikoje! Arsenal aongeze nguvu ndio Tunaweza kuona ushindani wake!