Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mourinho wa sasa kachoka sana hana ujanja tena, yeye mwenyewe analijua hilo ndo mana hata kubwabwaja kumepungua sasa hv

Unakosea sana,Mourinho anajua,alitoka chelsea akaenda Real Madrid,na Madrid ikapanda chati,now karudi chelsea,wait mechi inayofuata na Arsenal,tukiwafunga tunakuwa kileleni
 
Mashabiki mliopo chelsea kwa mkopo msione AIBU,RUDINI LIVERPOOL KABLA YA NAFAS ZENU HAZIJAZIBWA NA WALE WANAOTOKA MANURE
 
Sasa kama Chelsea inafungwa na kutolewa mtu wa Man Utd anaumia kitu gani?
Kama Chelsea inatoka maana yake ni nafasi nzuri kwa watani zetu kuchukua makombe.
 
form is temporary,class is permanent.......we are classy club,soon we'll be where we belong.....btw if u huff and puff against crystal palace do u think u gonna trouble arsenal???i would love it if u beat them but unfortunately i cant see that happen.......

Football ingekuwa a complete mess kama ingekuwa inakuwa decided kwa logic ya "kwa sababu A kamfunga B, na B kamfunga C, basi A atamfunga C". Kwa logic yako maana yake ni kwamba Man U walipaswa kufungwa na Arsenal kwa sababu Arsenal imekuwa ikizifunga timu nyingi ambazo zimeifunga ManU.
 
Mourinho ndo wakufukuzwa kwanza maana kama hela ya usajili apewa nyingi na kusajili atakavyo tofauti na Moyes

Mourinho wa sasa kachoka sana hana ujanja tena, yeye mwenyewe analijua hilo ndo mana hata kubwabwaja kumepungua sasa hv

You should worry about your Dithering Dave and NOT Mourinho. As it stands, Mourinho is just two points from the top, while Dithering Dave is turning you into a mid-table mediocrity.
 
Mtasema sana but am sure tufungwe hata na timu daraja la ngapi, Arsenal ni wachumba zetu tu. #quote me on that any day!!!

Kufungwa kwa Chelsea kunaifanya mechi na Arsenal kuwa more interesting.

Hata hivyo, kama Chelsea watacheza kama walivyocheza jana watafungwa magoli mengi tuu.

They posses the ball, lakini bado hawana ile cutting edge. They can't kill the game.

Halafu siku hizi Chelsea wanapenda sana pass za nyuma. Why?

Wakiwa na mpira wanapasiana, pasiana kwa kurudi nyuma weeeeeee mpaka inaboa.

Yaani mchezaji anatoa pass ya nyuma ambayo is completely useless.

By the time wanafika mbele unakuta timu pinzani imeshajipanga vya kutosha.

So far mchezaji ambaye naona hachezi pass za kinyume nyume ni David Luiz.
 
Mkuu EMT wait and see.....wait and see.
 
Last edited by a moderator:
Kufungwa kwa Chelsea kunaifanya mechi na Arsenal kuwa more interesting.

Hata hivyo, kama Chelsea watacheza kama walivyocheza jana watafungwa magoli mengi tuu.

They posses the ball, lakini bado hawana ile cutting edge. They can't kill the game.

Halafu siku hizi Chelsea wanapenda sana pass za nyuma. Why?

Wakiwa na mpira wanapasiana, pasiana kwa kurudi nyuma weeeeeee mpaka inaboa.

Yaani mchezaji anatoa pass ya nyuma ambayo is completely useless.

By the time wanafika mbele unakuta timu pinzani imeshajipanga vya kutosha.

So far mchezaji ambaye naona hachezi pass za kinyume nyume ni David Luiz.
Jose anaharibu timu na hajui anachokifanya! Mtabisha sana lakini ndio ukweli wenyewe.
Chelsea ya Benitez ilikuwa inacheza mpira wa kuvutia sana na walikuwa wanaflow na kutiririka yaani ilikuwa timu inatisha. Benitez aliwaanzisha 3 Amigos (Oscar, Matta and Hazard) nyuma yao wakisaidiwa na Ramirez na Luiz, mbele alimweka Torres/Demba na wote walicheza dakika zote 90 na walikuwa wanatisha sana. Hakuna mtu alitaka kukutana nao.
Leo hii Chelsea defense iko vulnerable, 3 amigos hawachezi tena pamoja, mpira wao ni wa kujihami hami tuuu na sio ule wa attacking and fluid passes. Under Benitez mpira ulikuwa ukivuka half yao haurudishwi nyuma na ilikuwa ni kushambulia tuu.
Huyo Tim Cahill ni mzigo kule nyuma.
Azipuculeta naona anakimbiakimbia tu na sioni anachokifanya.
Luiz anawekwa bench, sawa ingawa kaumia.
Matta anakaa bench.
Yule mjerumani sijui Scherlhe yuko very average.
Angalau Willian anatia moyo. Chelsea ya Benitez was far much better than Jose's.
Arsenal wana chance kubwa sana ya kushinda, labda tu mzee wao wa kigugumizi (Metusacker) ndie mzigo na anaweza akasababisha dozi kule nyuma.
All in all I think Arsenal has a better chance of beating Chelsea in the upcoming showdown.
 
Hapo kwenye bold sikuungi mkono mbe!!!!
 
"the three amigos" aliyeanza kuwatumia alikuwa Roberto Di Matteo (#16) siyo Rafa Benitez, wewe utakuwa mtu wa kukodiwa ukimshabikia Benitez, tulitoka 2-2 na Liverpool mwezi wa 4 kwa sababu ya Benitez..tulikuwa mbele akamtoa Hazard akamweka Benayoun! Humdanganyi mtu yeyote humu ndani, fikiria kabla ya kupost SHERRIF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom