TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
mourinho huwa haachi kombe hata la mbuzi....wamechapwa tu hao,hamna timu hapo na jumatatu wanapigwa na arsenal wachovu hawa......

Ile iliyofungwa sio first eleven ya siku zote na tatzo ni wachezaj wenyewe maana wanatawala mchezo lakn hawafungi, ila soon watajielewa tu kabla hata ya game na arsenal
Kiwango cha Chelsea ni kidogo sana msimu huu mechi nyingi sana wanaponea chupuchupu kufungwa hata na timu za kawaida mara nyingi sana marefa ndo wameokoa jahazi (Refer game ya Westbrom na nyinginezo). Hata game na Sunderland kwenye ligi Chelsea ilikua hoi sana hivyo kwa jana haikua na shaka hata kidogo kuwa Chelsea lazima ingefungwa tu, Jana hasa kipindi cha pili Sunderland alitawala sana mchezo na kukosa magoli mengi kuliko Chelsea
Kufungwa na kushinda ni kawaida ya mchezo:
Pep Guardiola kafungwa na City 3-2 hivi majuzi!
Arsene Wenger hajachukua hata hilo 'kombe la mbuzi' tangu mwaka 2004.
Man City walifungwa fainali ya FA msimu uliopita kombe akabeba Wigan..
Ukiwa mzungumzaji ujue na kumbukumbu. Kila kocha ana mapungufu yake. Angalia historia ya makocha wa chelsea ..hajawahi kutokea kocha mwenye rekodi nzuir ya ushindi kuzidi Mourinho.
NB: Arsenal - 35; Liverpool -33; Chelsea-33; Man City -32; Everton-31.
Sielewi Mfarisayo "Man Utd" unataka aanze kufukuzwa nani, Moyes au Mourinho?

![]()
Mou: Furious at the strikers
![]()
The goal that killed us. Reminded me of the Super cup against Bayern.
![]()
flop!
![]()
Flop!
![]()
Understudy aliyemshinda bosi wake..!!!
![]()
Not enough!
![]()
Legend & Flop in one picture!
![]()
![]()
![]()
Rare start...
![]()
Comeback...
![]()
Good try!
Nkwingwa wangu Ntuzu yuko wapi?...
Amepotea ghafla