Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sterling sio mpuuzi bali timu inatengeneza nafasi chache za kufunga kiasi ambacho sterling akipoteza moja anaonekana mpuuzi.

Ila pale CITY hakuonekana mpuuzi kwa sababu alikuwa anatengenezewa nafasi nyingi sana, akipoteza 6 atafunga 2.

Ila alichonifurahisha alipoteza nafasi lakini alitoa assist iliyochangia ushindi.

Cha muhimu kocha aendelee kuimarisha eneo la kiungo na Ushambuliaji zitengenezwe nafasi nyingi za kufunga.
We umefunga mjadala anambeza Raheem sterling mwenye goal 3 na assist 3 mpaka sasa alafu anawaacha Mount na kai ambao hawana goal wala assist kwa pale mbele sterling anajitahidi kuliko hao wengine ukiacha tu yote lakini anatusaidia Sana kwenye pressing, kuangaisha mabeki
 
Antoine Griezmann aliuzwa Euro 120M kwenda Barcelona msimu wa 2019/20
Sasa msimu wa 2023/24 Anauzwa back to ATM kwa Euro 20M

Lukaku tulimnunua kwa Euro 115M msimu wa 2021/22
Chelsea wanataka kumuuza back to Inter na itakuwa sio zaidi ya Euro 20M

Biashara ya mpira inachekesha sana
Dah ! Yaani hata Mimi huwa naona sometimes ni kama charity Tu hasa hivi vilabu vikubwa vinavyospend pesa ndefu halafu mauzo unakuta bonge la loss ,sijui huwa Wana recover vipi hiyo loss aisee 115-20= 95 million hii loss wanaibalance vipi ?
 
Kepa ndio karudi kwenye namba 1 yake au?
Mendy jana alikuwa fit
Mimi naona akila benchi itakuwa nzuri ili akirudishwa aache uzembe wa kijinga aliokuwa anaanza kuuonyesha
Kabisa ,ametuchomesha Sana Yule kenge kuanzia UEfA champions League dhidi ya Madrid msimu uliopita ,Mimi naamini tulikuwa na nafasi ya kufika fainali UCL iliyopita na hata kuchukua kabisa ,Maana ukitoa Madrid waliobakia wote walikuwa nanga Tu .Tungewabonda , Msimu Huu nao ameleta upuuz Tu tangia pre season
 
Anakuja Raphael Leao atakuwa kushoto na Sterling Kulia katikati Auba, attacking MF atakuwa Nkunku, hao wanne tusipotoboa basi tena
Auba hawezi cheza Chelsea zaidi ya misimu 2, muondoe kwa hesabu zako
 
Auba hawezi cheza Chelsea zaidi ya misimu 2, muondoe kwa hesabu zako
Mapema mno, Auba ana mkataba na Chelsea hadi 2025, atakavyocheza na kufunga ndio itaamua amalize miwili tu kama first no. 9 au aongeze mkataba
Pili hadi Chelsea impate striker mzuri ndio Auba asiongezewe mkataba
 
Only six players have scored more goals than Nkunku in Europe's top five leagues since the start of last season: Robert Lewandowski, Erling Haaland, Ciro Immobile, Karim Benzema, Dusan Vlahovic and Kylian Mbappe.
 
Cheek aelezea tofauti ya Potter na Tuchel
Wakati huu wa Potter tumekuwa wakatili kwenye nafasi zinazopatikana kule mbele na hii ndio tofauti na wakati wa TT
Tumecheza mechi nyingi vizuri wakati wa TT lakini hatukuweza kuua mchezo, leo tumetumia vizuri nafasi tulizopata

"We were ruthless with the chances, that’s been the difference.
We’ve had many games where we’ve played well but just couldn’t finish it off, tonight we took our chances.
 
Mnaonaje jamani vichwa vya Silva, Tatu za nguvu na ya tatu ndio ikasababisha goli
Naona kama tutakuwa na Silva hadi miaka 40 akiwa fit hivi hivi
Kamaliza miaka mitatu na Chelsea na tayari anaonekana Legend
Tangu aje tumekuwa na amani golini, hata Kepa anaonekana Kipa mzuri sasa
 
Kabisa ,ametuchomesha Sana Yule kenge kuanzia UEfA champions League dhidi ya Madrid msimu uliopita ,Mimi naamini tulikuwa na nafasi ya kufika fainali UCL iliyopita na hata kuchukua kabisa ,Maana ukitoa Madrid waliobakia wote walikuwa nanga Tu .Tungewabonda , Msimu Huu nao ameleta upuuz Tu tangia pre season
Jamaa sijui alikumbwa na nn hapa recently ..makosa ya kindezi sana
 
Mnaonaje jamani vichwa vya Silva, Tatu za nguvu na ya tatu ndio ikasababisha goli
Naona kama tutakuwa na Silva hadi miaka 40 akiwa fit hivi hivi
Kamaliza miaka mitatu na Chelsea na tayari anaonekana Legend
Tangu aje tumekuwa na amani golini, hata Kepa anaonekana Kipa mzuri sasa
Nimeona taarifa Chelsea Wana mpango wa kumuongezea miaka 2 na pia kumpa nafasi ya ndani ya club pindi atakapo retire
 
Koulibaly juzi hakucheza vizuri sana
Namuona kama bado hajiamini na ana panic nyingi
Uchezaji wake wa juzi ulikuwa na dosari hizi
  1. Alikuwa anakamia kuucheza kila mpira mara yuko kulia mara kushoto mara mbele. Anaiga staili ya Kante ila akumbuke kuwa Kante ni kiungo na anaimudu hiyo hali
  2. Alikuwa anatumia nguvu sana na hapohapo kucheza rafu rejareja nyingi, ni kama refa alimmezea tu kumlamba kadi
Kwa umri wake na kwa nafasi anayocheza alitakiwa atulie zaidi nyuma asicheze wide kwa sababu anaweza choka haraka na pia anaweza tengeneza mwanya wa kushambuliwa. Silva alikuwa anajitahidi kucover nafasi yake anapokuwa out of position ambayo alikuwa akifanya mara kwa mara
Kitu kizuri niliyoona kwake ni kucheza haraka na pasi alizokuwa anatoa zinajenga mashambulizi vizuri sana
 
Nadhani tumeanza kuona tofauti ya TT na Potter
Formation ile ile lakini style ya uchezaji tofauti
Potter yeye kaja na ukatili mbele
Hata Chelsea walipokuwa hjawaposes sana kipindi cha kwanza lakini wakipeleka mpira mbele unaona ukatili ambao haukuwepo kwa TT
 
Vs Wolves 343

-------- PULISIC --- AUBA --- ZIYECH -------

CHIL ----- ZAKARIA-----JORG ------CHEEK

---- CUCU -- KOULIBALY -- CHALOBAH --

Mount, Thiago, James, Sterling & Kovacic (Wapumzike kwa ajili ya mechi na Milan Jumanne)
Pulisic na Ziyech hatuwataki kabisa, Mabadiliko hayo ni mengi mno
Zakaria lazima kwanza aanzie benchi kwa dakika chache ili ajenge fitness na kujiamini kwa EPL
Mount, Thiago, James, Sterling & Kovacic kupumzika naungo mkono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom