Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

L:eo nimeona ile full form ya Chilwell, halafu naona akicheza wing-back ndio anacheza vizuri kuliko akicheza LB
Amecheza vizuri ila kwa level ya kawaida bado hajafika kwenye level yake kwenye level ya chilwel ungeona movement nyingi anafanya pale mbele, ungeona krosi za uhakika sasa hivi ametupa tu ubora wa ukabaji pekee
 
Hao jamaa ndio wanatutia uvivu wengi kuchangia humu
Kabisa mkuu hivi Papaa Gx uoni kabisa kazi anayofanya sterling?pale huyu ndio namuona angalau anadeliver something Mount ndio simuelewi kabisa Mount tangu huu msimu Huu uanze hana hata assist Moja na ni kiungo mshambuliaji kaxidiwa hadi na Thiago silva alafu sikuoni ukimsema Auba mechi nzima kapata clear chance 1 tu ndio ambayo kafunga
 
Vitu hivyo
1665007031249.gif
1665006988780.gif
 
Game ya jana imenikumbusha game dhid ya Juve, Tulicheza vizuri sana na ndio ikawa game yetu ya mwisho kucheza vizuri ukiachana na zile game za fainal.

Loftus cheek jana kacheza vizuri sana.

Kitu kibaya jana ni Injury ya Fofana tu, mengine tutaendelea kuimprove kadri siku zinavyozidi kwenda.
Ukiangalia game ya Salzburg,Palace na ya Jana unaona kabisa kuna improvement ipo hasa katika upigaj wa pass za mbele na usharp wa kwenda mbele
 
Sterling ni mpuuzi tu, anakokota mpira inafika wakati wa kutoa pasi anazingua.
Kabisa mkuu hivi Papaa Gx uoni kabisa kazi anayofanya sterling?pale huyu ndio namuona angalau anadeliver something Mount ndio simuelewi kabisa Mount tangu huu msimu Huu uanze hana hata assist Moja na ni kiungo mshambuliaji kaxidiwa hadi na Thiago silva alafu sikuoni ukimsema Auba mechi nzima kapata clear chance 1 tu ndio ambayo kafunga
 
Game ya jana imenikumbusha game dhid ya Juve, Tulicheza vizuri sana na ndio ikawa game yetu ya mwisho kucheza vizuri ukiachana na zile game za fainal.

Loftus cheek jana kacheza vizuri sana.

Kitu kibaya jana ni Injury ya Fofana tu, mengine tutaendelea kuimprove kadri siku zinavyozidi kwenda.
Ukiangalia game ya Salzburg,Palace na ya Jana unaona kabisa kuna improvement ipo hasa katika upigaj wa pass za mbele na usharp wa kwenda mbele
Kwa sababu ya 343, Chelsea haiwezi kucheza vizuri nje ya huo ulinzi shirikishi
James na Chilwell wanaipa timu uhai kwenye wings. Ukiongeza na Cheek jana alioffer viti vingi ambazo Jorginho hana, kukaba, kucheza mipira ya juu, kudrible pale mwanya wa kupasi inakosekana na kutoa key passes hizo zote Jo alikuwa hawezi kutoa. Natamani Kocha aendelee kumtumia Cheek hapo katikati ila kwenye formation ya 343 tu
 
Mendy ana miaka 30
Analipwa Paundi 50,000 kwa wiki
Kakataa kusaini mkataba mpya
Kuna uwezekano akaondoka kama free agent msimu wa kiangazi wa 2025 au akauzwa kabla ya huo msimu

Kepa Arrizabalaga ana miaka 28
Analipwa Paundi 155,000 kwa wiki
Kuna uwezekano asipopewa muda wa kutosha kucheza anaweza akaondoka kama free agent msimu wa kiangazi wa 2025 au akauzwa kabla ya huo msimu
 
Antoine Griezmann aliuzwa Euro 120M kwenda Barcelona msimu wa 2019/20
Sasa msimu wa 2023/24 Anauzwa back to ATM kwa Euro 20M

Lukaku tulimnunua kwa Euro 115M msimu wa 2021/22
Chelsea wanataka kumuuza back to Inter na itakuwa sio zaidi ya Euro 20M

Biashara ya mpira inachekesha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom