lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Alichukuliwa kwa dharura, ikitokea injuries za kupitiliza, ila pia kwa ajili ya sub na leo anaweza akapewa dakika chacheNaona tulimnunua ZAKARIA kama pambo.
Mwezi wa 2 huu bado anajitafuta kuwa ful fit
Mara nyingi makocha wanaangalia performance ya mchezaji kwenye mazoezi
Ndio maana baada ya kumuweka benchi juzi Potter alimsifia Koulibally kuwa anafanya vizuri kwenye mazoezi na leo kamuanzisha
Zakaria inawezekana hafanyi vizuri sana kwenye mazoezi
