John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Kweli aisee ..cjui chilwell alishindwa nn kuattempt hyo pass au ameathiriwa na backpassTunapata shida sana kufunga magoalView attachment 2376986View attachment 2376987

Kweli aisee ..cjui chilwell alishindwa nn kuattempt hyo pass au ameathiriwa na backpassTunapata shida sana kufunga magoalView attachment 2376986View attachment 2376987

Tetesi zipi hizo. Ukiachana na nkunku nyingine zipi ulizosikia?If hizi tetes ni za kwel,naona ndani ya msim ijayo huenda tukawa na front 3 mpya pamoja na kiungo kipya.
Me naimani tunashinda hii game nadhani wachezaji wameshajua umuhimu wa hii game naona watajitoa SanaWazee mechi ya leo naona kabisa Milan atatuangushia kitu kizito kichwani.
Upande mid kuna baadhi wachezaj kadhaa washaanza kuhusishwa n ndio huenda ikawa priority yetu kwa madirisha yanayofata + Leao, Tho zote hizi still ni tetesiTetesi zipi hizo. Ukiachana na nkunku nyingine zipi ulizosikia?
Chelseafc inaizidi ac milan kama wataamua wacheze mpiraWanaweza wakajitoa mpaka mwisho lakini wakazidiwa uwezo na mbinu.
That is an hyphothesis inaweza ikawa hivyo provided some factors occursMpira haupimi kwa style hiyo sijui asipokuwa nani au akiwa nani itakuwa au haituwa hivi ile game Man city mpira ulikuwa kwenye mahakama yao wala hata asingekuwa hallaand still wangeshinda mbona msimu uliopita man u walipigwa 4 city ikiwa haina hallaand. Man u alipata goal zile 3 ni kwasababu ya Man city kuwatoa KDB na wengine baada ya kuona game wameimaliza Pep akaingiza makinda hata ile intensity walionayo tangu mwanzo wa game wakaipunguza Herzog
Involment ya Haaland 5 goals out of 6Yeah ndicho nlichokua namwambia mkuu lembu kuwa ile game tuliikamata kwa kila idara na sub alizofanya pep ndizo ziliwapa uhai man u mpaka kufunga zile goli 2 za mwisho lakini sio kwamba bila haaland tungepoteza
Christian Pulisic and Callum Hudson-Odoi would be part of the deal, although the Italian champions would still demand a £90million fee for the Portuguese.Yani Ac Milan wakatae 100M wamchukue pulisic watakua Hawana akili
Sote tumekubaliana kwamba defence ya city ni dhaifu na kwamba possession inasaidia kuZuia defence isiwe exposed si ndio.......Involment ya Haaland 5 goals out of 6
Je dhana yenu imebase wapi?
Mimi ni m tu wa hesabu na hesabu inabase kwenye hyphosesi na assumptions
Kwani kuwa na possesion kubwa ndio kucontrol mchezo au kushinda? kUna timu zinakuwa na possesion hadi 70+ na bado zinafungwa. Uwezo wa kubreak defenmse line na kuwa na clinical finishers ndio argument pekee. Sasa City bila Haaland wangeweza kufunga yale mabao?Sote tumekubaliana kwamba defence ya city ni dhaifu na kwamba possession inasaidia kuZuia defence isiwe exposed si ndio.......
Sasa bas katika ile game je man u waliweza kuwa out posses city?
Timu gani iliyocontrol mchezo?
Je city ilisubiri uwezo binafsi wa haaland kuamua mchezo?
Je chance hazikutengezwa za kutosha?
Na mwisho kabisa je city isingeweza kuziona nyavu za man u kama haaland asingekuwepo?
Point yangu ni kwamba haaland hakuwa mchezaji pekee aliyeamua matokeo ya city labda tukubaliane kwamba kwakuwa yeye ni clinical finisher bas kukosekana kwake kungeathiri idadi ya mabao lakini so ushindi kaka...
Pia baada ya zile sub ndio unaona man u wakapata uhai pale kati na kupata Zile bao 2 za mwisho...je unafikiri ingekua 1:0 ,pep angefanya hizo sub?
Hapo mkuu tusi base kwamba kisa haaland kahusika na goli 5 basi asingekuwepo magoli yasingefungwa kabisa...wewe mwenyewe unaelewa man city imekuwa ikicheza na force no.9 kwa muda sasa kwaiyo kwa gemu ile tulivyokua tumeikamata ni dhahiri kabisa hata bila ya haaland ushindi ulikuwepo tu kaka
Vipi kuhusu kdb...alikua hafungi? Vipi Bernardo Silva?Kwani kuwa na possesion kubwa ndio kucontrol mchezo au kushinda? kUna timu zinakuwa na possesion hadi 70+ na bado zinafungwa. Uwezo wa kubreak defenmse line na kuwa na clinical finishers ndio argument pekee. Sasa City bila Haaland wangeweza kufunga yale mabao?
Wachezaji city ilikuwa inawategemea kabla ya ujio wa Haaland ni Mahress, Foden na Sterling
Sasa Sterling hayupo, Mahress anapambana kurudi kwenye form na Foden yuko pekee yake
Hata city wangecheza vizuri namna gani, bila clinical finisher kazi yao yote ingekuwa bure.
Bado hyphosesis yangu imebase hapo, kama hukubaliani nami agree to disagree mada ifungwe
We Huna Imani na timu kiasi hicho?Wanaweza wakajitoa mpaka mwisho lakini wakazidiwa uwezo na mbinu.
Transition period ya rebuilding, hawa hawa wachezaji utakuja kuwasifia keshoKabisa mkuu sina imani kabisa.
Pamoja na kusajili wachezaji wapya bado Kikosi kimeendelea kuwa cha ovyo sana.
So Potter kamshitukia Jorginho eh.Nini maoni kuhusu Kikosi hichi?View attachment 2378201
Lembu man u mpira wake wa ujanja ujanja bila hata halland angepigwa vzr tuThat is an hyphothesis inaweza ikawa hivyo provided some factors occurs
Wewe ukija na hyphosesis yako nayo inaweza kuwa valid
Points za kuilinda hiyo dhana yangu nimeweka hapo
- Clinicality ya Haaland kule mbele hakuna mwingine kwenye squad anayo. Na hiyo clinicality imeonyeshwa kwenye involvment ya Haaland kwenye hiyo mechi
- Tukumbuke kuwa point yangu imebase kwenye mechi hiyo ya Man U tu ambayo ilikuwa ikinyanyasa Man City 2019 na 2020 (2 years) ni 2022 tu City imejenga utamaduni wa kumfunga city
- Narudia City without Haaland angelala ile mechi au droo kama angekaza sana