Hii ndio shida ya wachezaji wetu hawataki kutake riskTunapata shida sana kufunga magoalView attachment 2376986View attachment 2376987
Hii ndio shida ya wachezaji wetu hawataki kutake riskTunapata shida sana kufunga magoalView attachment 2376986View attachment 2376987
Neves na madison chelseafc wameonesha nia ya kuwasajili mpaka uwaweke hapoSterling ---------- Auba ------------- Nkunku
Gallagher ------ Neves ------------ Madison
Chilwell-- Koulibaly ---Fofana --- James
Nina wasiwasi kama tutampata huyo NevesSterling ---------- Auba ------------- Nkunku
Gallagher ------ Neves ------------ Madison
Chilwell-- Koulibaly ---Fofana --- James
Wachezaj wetu hawatak take risk, mentality zao sijui zikoje.Tunapata shida sana kufunga magoalView attachment 2376986View attachment 2376987
wanajiamini kufunga magoli mengiJuzi CITY walicheza bila kiungo mkabaji.
THE BLUES tunafeli wapi?
Hatuna viungo wa kutawala eneo la kiungo kwa pasi na kazi ya kukaba ifanywe na timu nzima. View attachment 2377100
Akiondoka Kante inaweza kuwa goodnews kwa Chelsea ili uongozi utambue kuwa hatuna viungo wazuri kwa amaana hadi sasa tunang'ang'a na mabeki na washambuliaji.Kante inawezekana msimu huu ndio wa mwisho kwake kuendelea kuwepo THE BLUES.
Kovacic misuli inamsumbua sana, mechi hizi chache alizocheza tangu arudi majeruhi, misuli yake imeanza kuwaka moto tena, hii october hatoboi.
Kovacic ni mchezaji wa mechi chache chache.
Umeongea ukiwa serious mkuu?wanajiamini kufunga magoli mengi
hata hivyo city wana shida kwenye defending, mabeki sio wazuri na DM na ndio mana nao juzi walifungwa 3, isingekuwa Haaland ile mechi city wangefungwa
Kama una mawazo mbadala/tofauti yatoe hapa na yataheshimiwaUmeongea ukiwa serious mkuu?
Umetumia fact zipi Ku judge hivyo?
City wanalinda defence yao kupitia possession na pressing Ndio maana defence yao haifikiwi lakini naungana na wewe City hawana defence NzuriKama una mawazo mbadala/tofauti yatoe hapa na yataheshimiwa
And alway defensive aproach ya city ni PossesionCity wanalinda defence yao kupitia possession na pressing Ndio maana defence yao haifikiwi lakini naungana na wewe City hawana defence Nzuri
And alway defensive aproach ya city ni Possesion
Yeah falsafa anayoiamini pep ni kwamba kama mpinzani hatokua na mpira basi hatofunga ndio maana timu inakaa na mpira muda mwingi...City wanalinda defence yao kupitia possession na pressing Ndio maana defence yao haifikiwi lakini naungana na wewe City hawana defence Nzuri
Kumbe umeona, Halaand tofauti na wachezaji wengine yuko 90% clinical. Asingekuwepo haaland kule mbele ile mipira 90% ingepoteaYeah falsafa anayoiamini pep ni kwamba kama mpinzani hatokua na mpira basi hatofunga ndio maana timu inakaa na mpira muda mwingi...
Kwenye swala LA defence ukweli ni kwamba defence ya city inavuja ndio lakini ni ngumu kusema kuwa bila haaland city angepoteza.....ni kwa sababu mchezo tuliutawala katika kila angle....haaland kazi yake ilikua ni Ku tap in.... Japo pia alitoa assist kadhaa ....na ndio maana mkuu lembu nkaomba ufafanuzi wako ni kwanini unasema pasipo haaland tungepoteza
Mpira haupimi kwa style hiyo sijui asipokuwa nani au akiwa nani itakuwa au haituwa hivi ile game Man city mpira ulikuwa kwenye mahakama yao wala hata asingekuwa hallaand still wangeshinda mbona msimu uliopita man u walipigwa 4 city ikiwa haina hallaand. Man u alipata goal zile 3 ni kwasababu ya Man city kuwatoa KDB na wengine baada ya kuona game wameimaliza Pep akaingiza makinda hata ile intensity walionayo tangu mwanzo wa game wakaipunguza HerzogKumbe umeona, Halaand tofauti na wachezaji wengine yuko 90% clinical. Asingekuwepo haaland kule mbele ile mipira 90% ingepotea
Foden angeishia kufunga foli moja tu au mbili akijitahidi sana
Kumbuka Haaland kahusika na magoli matano kati ya sita City iliyofunga. Na msingi wangu ulikuwa hapo + defense inayovuja hata Diaz aliyekuwa anategemewa kwa sasa PEP hamuamini 100%
Yani Ac Milan wakatae 100M wamchukue pulisic watakua Hawana akiliRumour Has It: Chelsea and Milan considering swap deal involving Pulisic for Rafael Leao
Chelsea na Ac Milan wanaangalia uwezekano wakubadilishana Pulisic na Leao. Source Sport1.
View attachment 2377665
Yeah ndicho nlichokua namwambia mkuu lembu kuwa ile game tuliikamata kwa kila idara na sub alizofanya pep ndizo ziliwapa uhai man u mpaka kufunga zile goli 2 za mwisho lakini sio kwamba bila haaland tungepotezaMpira haupimi kwa style hiyo sijui asipokuwa nani au akiwa nani itakuwa au haituwa hivi ile game Man city mpira ulikuwa kwenye mahakama yao wala hata asingekuwa hallaand still wangeshinda mbona msimu uliopita man u walipigwa 4 city ikiwa haina hallaand. Man u alipata goal zile 3 ni kwasababu ya Man city kuwatoa KDB na wengine baada ya kuona game wameimaliza Pep akaingiza makinda hata ile intensity walionayo tangu mwanzo wa game wakaipunguza Herzog
Nazani itakuwa pulisic+Yani Ac Milan wakatae 100M wamchukue pulisic watakua Hawana akili
