Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,696
Yah ! Wafanye hivyo ,hawa akina Kante cova na Jogi Zama zao zimeisha msimu ujao wote waondoke tuanze upya kusuka mildfield , in the mean time tuanze kuwazoesha hawa madogo kulitawala dimba .wapewe muda WA kutoshaChukwuemeka juzi alifunga goli mbili kwenye mechi ya kirafiki kujiweka fit. Nadhani ataanza kupewa dakika za kucheza uwanjani.
