Potter auendeleze mfumo wa ulinzi shirikishi 3-4-3 kumfichia Jorginho madhaifu yake.
Moja Kati ya demand ya kocha Graham Potter kwenye makubaliano na Wamiliki ni kuakikishiwa kupewa nguvu kwenye usajili yeye ndio awe say ya mwisho pamoja na mambo yote ya tenichnical benchi
Leo jombaa angalau umeacha kitu ya Kisimiri ikakauka vizuri. Sasa jombaa experience unataka apatie wapi? Ni hapa hapa the Blues. Ngoja uone kwa talent iliyopo the blues timu zote zitatuogopa [emoji38][emoji38]Uyo Potter tutakuja mkataa hapa hapa ..kocha Hana experience yeyote ya michuano mikubwa ..Leo unamkabidhi timu kama hii ..huu msimu naona tutapoteana zaidi
Anaweza akabadilisha na bado timu ikacheza vizuri. Uzuri mmoja ni kwamba anakuta timu imekamilika343 haikwepeki
Support Ya mmiliki ni pale hata mambo yanapoenda kombo mmiliki anakuwa na imani na kocha kuwa anaweza weka mambo sawa, last season arteta alikuwa na poor run ila kroenke bado akawa anaimani nae na project yake.Dressing room huwa hamna support ya wamiliki, it is so delicate kiasi kwamba ni mzigo wa kocha peke yake, akitibua ni kufukuzwa tu hata kama ni wachezaji ndio wabaya, wachezaji wanaochafua dressing room anatakiwa kocha kuwanyamazishe au kuwaondoa mara fursa ikitokea bila kuwaambukiza wengine. Mara nyingi makocha wabishi ndio wanaoharibu dressing room kama mbinu wanazotoa hazieleweki au haziungwi mkono na wachezaji maarufu ambao wanapewa support na wachezaji wa chini. mfano mzuri Man U aliyekuwa anaizamisha timu pale dressing room wa kwanza ni Pogba akanondoka bado kuna wachawi wengine lakini sio Ronaldo
So ndg yangu Dressing room ni ya kocha mwenyewe azuie isitokee au awang'amue wachavuzi wa dressing room waondolewe mapema kabla hawajageuka virusi
Joginho auzwe ni useless playerAs long as Jorginho bado yupo soka la mlenda litaendelea kuwa chakula chetu. Back pass laki 1, ball possession 700%
343 yake ni tofaut na ya kina tuchel, tuchel anadepend kwenye mawing back, ila potter anaweza tumia mawing343 haikwepeki
Dawa ni matakataka wote wanaolrta ufather kuuzwa ,Tuchel alikuwa na Mapungufu take Ila kuna wachezaji ni mizigo mle mi nawaambia wale takataka waliobaki akina Azpilicuetta ,Havertz ,Joginho , Ziyech ,Pullisic hawana sifa ya kuendelea kuvaa jezi ya the blues , tunahitaji cream mpya kabisa hata ule upimbi na ego zitaisha ni kupiga kazi , TT ameangushwa na viburi vya wachezaji mule .Kiongozi napingana na wewe, Graham atabeba na atapata mafanikio makubwa ndani ya Chelsea changamoto nisiyoweza kuitabiri kama ataiweza ni Dressing Room tu
Na hao wamiliki wapiga miruz wakileta unges£ na kushindwa kuleta makombe darajani wanyang'anywe timu ,Naona tu. Ngoja tusubiri kuona watakavyo-implement mipango wanayoianzisha
Watangulie kuondoka Azpilicueta na Jorginho, hao wengine wapewe second chance under Graham wakishindwa nao wafuate, Naamini Ziyech na Havertz watabadili uchezaji wao, hata pulisic. Wachezaji huwa wanabadilika kocha akija mwingineDawa ni matakataka wote wanaolrta ufather kuuzwa ,Tuchel alikuwa na Mapungufu take Ila kuna wachezaji ni mizigo mle mi nawaambia wale takataka waliobaki akina Azpilicuetta ,Havertz ,Joginho , Ziyech ,Pullisic hawana sifa ya kuendelea kuvaa jezi ya the blues , tunahitaji cream mpya kabisa hata ule upimbi na ego zitaisha ni kupiga kazi , TT ameangushwa na viburi vya wachezaji mule .
Mgomo baridi
Mkuu kwa mkataba wa miaka mitano aliopewa naamini hii ni project. Tumepata kocha mzuri tumpe muda kina Chukwuemeka, Gallagher, Broja, Slonina na wengine wanaweza kufaidika sana na hii projectFact,
Inshort kama tuna muweka Potter aje atupe mafanikio ya haraka tutakuwa tumejipiga risas kwenye mguu,
Kama wanaamini katika project,Potter ni mtu sahihi je atapewa mda pale matokeo yakienda ndivyo sivyo???
Rebuilding sio kitu cha nusu msimu
Naaminirebuilding inaenda na matokeo mazuriFact,
Inshort kama tuna muweka Potter aje atupe mafanikio ya haraka tutakuwa tumejipiga risas kwenye mguu,
Kama wanaamini katika project,Potter ni mtu sahihi je atapewa mda pale matokeo yakienda ndivyo sivyo???
Rebuilding sio kitu cha nusu msimu
May be Potter is the one. He is more closer than Gerald, Lampard, Ralph or Thomas FrankNo English manager has ever won epl, chelsea should know that
Sawa Graham Potter. Na nani mwingine aondoke?Joginho auzwe ni useless player
Imetusaidia ndio lakini angalia tunavyo struggle sasa hivi. Kwa nini tusijenge timu ya kudumu misimu mi 5+ mfano angalia project ya Real Madrid wana employ madogo mostly under 22 wengi just imagine 3-4 years to come itakua timu ya namna gani.Pamoja na kwamba unayosema ni kweli mtupu ila kumbuka pia kuwa ubadilihsaji wa makocha ndio unatupa kutamba mitaani kwa makombe tunayobeba. Kuna timu zinakaa na kocha hadi inabandikwa tags kwamba wao hawanaga plan za kubeba makombe. Hiyo hiyo presure atakuja nayo Graham Potter usishangae akabeba EPL au UCL
Bahati mbaya tuliyonayo Chelsea ni dressing room
Makocha tunaowaajiri hawajui kuidhibiti dressing room
Aliweza kidogo Sarri ila naye akatimua kabla hajafukuzwa, japo mimi ningeamini Sartri angekaa muda mrefu kwa sababu alikuwa ana hekima ya kudela na dressing room
Ila hawa wengine wakiongozwa na MOU, Conte na huyu kichaa TT wamefeli hapo Dressing room. Tuseme ukweli