Maboss wanazingua , Tuchel alitakiwa apewe full authority awe dictator kama Pep pale city halafu ndio tumgudge sasa , kuna wachezaji mule walikuwa sumu Sana mule Alonso na genge lake walikuwa na Tabia ya kuanzisha migomo ya Chini Chini .Pep vijana wake wanaenda HT wakiwa mbele kwa bao tatu...aila huko Dressing room aliwagombeza sana kuwa hajaona mpira waliocheza.
Wangekuwa hawa vijana wa Chelshit si wangetamani kujinyonga kabisa.
Yani mzeemama apa timu imezingua parefu Sana. Tutashaa msimu huuπ€£π€£π€£π€£π€£Waambie waaambie.
Wangempa muda aiseee aone anapanga vipi kikosi ..
Alikuwa Kwenye trials,,baadaye angeibuka na kikosi Perfect sana.
Wale mababu anaowang'ang'ania ndio watakaomcost.Baada Thomas Tapeli kuaga mashindano linalofata lingine kufurushwa ni lile Kopo lenu (Klopp)
Isitoshe usajili ndio kwanza umemalizika,Maboss wanazingua , Tuchel alitakiwa apewe full authority awe dictator kama Pep pale city halafu ndio tumgudge sasa , kuna wachezaji mule walikuwa sumu Sana mule Alonso na genge lake walikuwa na Tabia ya kuanzisha migomo ya Chini Chini .
Hizo sumu zimesambaa mpaka Kwa akina Ziyech na matakataka mengine , ego za kipumbav kazi zero . Mbona kuna wachezaji wanajituma mafano James , SILVA kila mechi wanacheza vizuri hawa vibwengo wengine wanaona timu kama ya Baba Yao ,Huu upuuz ndio uliowacost manU na bado utaendelea kuwacost ,timu haitakiwi kumvumilia kenge yeyote Yule ,piga kazi coz unalipwa mbw@ we .
Cry me a river πSisi kama binadamu mwezie huruma imetushika Kwa yule kimbaombao wenu.
Boehly ameonyesha hivyo kwa TT, kampa mamlaka yote na kumsikiliza. Boehly alimpenda sana Ronaldo lakini TT alipomkataa hakulazimisha hata japo yeye ndie mwenye maamuziMkuu ndio unaweza pata kocha yoyote, Ndoto ya Roman siku zote ilikuwa ni kumpata Guardiola ila ilishindikana kwa sababu ya tabia ya kocha kutopewa mda + mamlaka hayapo,
Kuna makocha ili uwapate lazima uwape mamlaka ya kwenye tim,ndio maana hata issue ya pep na yaya toure fasta tu iliisha kwa toure kuondolewa kwenye tim.
Wenye pesa zao wameshaamua, sisi ni mashabiki tu,Isitoshe usajili ndio kwanza umemalizika,
Kuna wachezaji hawajamaliza hata wiki...Kocha amewafundisha saa ngapi sasa?
Wangempa muda angalau hadi December.
Source zinasema hiyo ni moja ya sababu ya mahusiano ya boehly n tuchel kuanza kuharibikaBoehly ameonyesha hivyo kwa TT, kampa mamlaka yote na kumsikiliza. Boehly alimpenda sana Ronaldo lakini TT alipomkataa hakulazimisha hata japo yeye ndie mwenye maamuzi
MtamkumbukaπYani mzeemama apa timu imezingua parefu Sana. Tutashaa msimu huuπ€£π€£π€£π€£π€£
Shida sio kupewa nafasi ni kutoonesha dalili zote nzuri kuanzia msimu ulioisha mpaka msimu team inacheza soka la slow, backpass nyingi hakuna game yoyote tuliofunga kuanzia goal 3 kwa kipindi chote hicho, wachezaji wanapangwa out of position, uoni aina gani ya mpira tunaocheza kwa namna hii kwanini mmiliki asikufukuze akuishia hapo kuna wachezaji kawasajili hawachezeshwi kabisa mfano chikumeka bonge la mchezaji lakini hakuna hata game aliyopewa nafasi OllaChuga Oc anasema kocha hana mamlaka sio kweli kocha kapewa nguvu kubwa Sana wachezaji wote aliyowataka kapatiwa mfano mzuri ni Huu mmiliki alikuwa anamtaka Ronaldo lakini TT alimkataa na mamiliki akaamua afate maamuzi ya TTIsitoshe usajili ndio kwanza umemalizika,
Kuna wachezaji hawajamaliza hata wiki...Kocha amewafundisha saa ngapi sasa?
Wangempa muda angalau hadi December.
Anne, mimi nitakukumbuka wewe, unatamani kuwa Chelsea ila una nia mbiliMtamkumbukaπ
Pia TUCHEL alishauri madaktari wamkate Lukaku mguu baada ya kuumia.
Yeah n idea nzuri vilevile ..tatizo mmekalili kusajili ndo kupata mafanikio...Tajiri linataka kumleta Potter kutumia watoto wa academy hutchinson et all na kuiendeleza Cobham ili kupunguza matumizi ya club, mmarekani hawezi kuwa fala [emoji1787]
Say it again, wakusikie cheltako wenzioYeah n idea nzuri vilevile ..tatizo mmekalili kusajili ndo kupata mafanikio...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huruma imenikamataCry me a river π
Hata hao kina Conte, klop, Tuchel walianzia timu ndogo ....Mbona hampo optimisticUyo kocha wa timu ndogo hafai ..hii timu inafaa makocha kaliba ya Conte, Ancelotti, Zidane hivi..
ππππππππPia TUCHEL alishauri madaktari wamkate Lukaku mguu baada ya kuumia.
Haonyeshi dalili nzuri?Shida sio kupewa nafasi ni kutoonesha dalili zote nzuri kuanzia msimu ulioisha mpaka msimu team inacheza soka la slow, backpass nyingi hakuna game yoyote tuliofunga kuanzia goal 3 kwa kipindi chote hicho, wachezaji wanapangwa out of position, uoni aina gani ya mpira tunaocheza kwa namna hii kwanini mmiliki asikufukuze akuishia hapo kuna wachezaji kawasajili hawachezeshwi kabisa mfano chikumeka bonge la mchezaji lakini hakuna hata game aliyopewa nafasi OllaChuga Oc anasema kocha hana mamlaka sio kweli kocha kapewa nguvu kubwa Sana wachezaji wote aliyowataka kapatiwa mfano mzuri ni Huu mmiliki alikuwa anamtaka Ronaldo lakini TT alimkataa na mamiliki akaamua afate maamuzi ya TT