Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila mchizi boti, jana ilikua bado kidogo maiti angemng'ang'ania sheh.

Maana mpaka dakika ya 70 mulikua tia maji tia maji.

Mushukuru yule Havart na kigoli chake cha bahatisha ndulute.

Ila big 4 mutaisikia kwenye tahatifa ya habari tu.
Sasa mchiz boti tusipoingia top Foo Nana mwingine ataingia? Manure? Spurs? Hiyo top Foo itakuwa Ni batili mzee..😀😀😀
 
Mkuu tusifiche madudu wala kutetea upuuzi inapaswa tuseme ukweli. Inamaa wewe umeona ni sawa kwa Gilmour kuuzwa? Shida ya TT ni muoga sana na anawapa presha wachezaji wetu ndio maana wanafanya vibaya, Gilmour alipaswa kuaminiwa tu ata kama angekuwa anatokea benchi sawa tu ila sio kuuzwa. Ishu ya Gilmour kukataa kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa alipaswa kubaki hapo hapo kuna mashindano mengi hayohayo angecheza ata kama sio kuanza kwenye kikosi cha kwanza. Shida kocha lako ni lipuuzi sana, anashindwa kuamini madogo wa academy, nakwambia huyo Zakaria mtakuja kumkataa hamna kitu mule.
Maneno ya tuchel kuhus gilmour kuondoka kwake.View attachment 2344911
 
Mkuu tusifiche madudu wala kutetea upuuzi inapaswa tuseme ukweli. Inamaa wewe umeona ni sawa kwa Gilmour kuuzwa? Shida ya TT ni muoga sana na anawapa presha wachezaji wetu ndio maana wanafanya vibaya, Gilmour alipaswa kuaminiwa tu ata kama angekuwa anatokea benchi sawa tu ila sio kuuzwa. Ishu ya Gilmour kukataa kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa alipaswa kubaki hapo hapo kuna mashindano mengi hayohayo angecheza ata kama sio kuanza kwenye kikosi cha kwanza. Shida kocha lako ni lipuuzi sana, anashindwa kuamini madogo wa academy, nakwambia huyo Zakaria mtakuja kumkataa hamna kitu mule.
Shida ya Gilmour ilikolezwa na TT preseason, alimdhalilisha sana kumrudisha kutoka USA etyi ili aje kufanya mazoezi na development squad.

Tena ukiambiwa kauzwa paundi ngapi utashangaa, hata 10m haijafika
 
Maoni juu ya mechi ya Jana by the way tulicheza kawaida Sana lakini Westham walitufanya tuonekane tumecheza ovyo kupita maelezo na hii ni kwasababu ya aina ya uchezaji wa Westham.Westham ndio team ninayoichukia Sana pale England inapack container la maana ukiwa unawashambulia wanarudi wachezaji wote nyuma wanabaki na striker mmoja tu mbele ndio maana njia nyingi zinakuwa zinazibiwa sisi tulitakiwa tukubali kutake risk kwa kuwalazimisha kuliko kurudisha mpira nyuma na kupiga side passes.

Tushukuru Benchilwell ametuokoa niliwahi kusema humu humu jamiiforum ben akiwa fit huyo Cucurella hawezi kumuweka benchi na si yeye pekee ligi nzima hamna left back mwenye ubora kumzidi Benchilwell watu wakanishambulia humu wakisema Cucurella kashachukua namba.Kwanini nilitoa ile kauli Benchilwell sio tu left back ni footballer hii kauli inamaana gani? Mtu mwenye kuelewa mpira na anaujua mpira vizuri ndio maana baada yakupata injury tulikosa mbadala wake aliikost team kwasababu ukiachana na kujua kukaba, hasa anapoenda mbele anageuka kutoka kuwa lwb pekee anakuwa anacheza kama attack midfielder anafanya movement ndani ya box zenye akili kitu ambacho kinasaidia kutengeneza space kwa wachezaji wengine na kuzifungua team zinacheza defensive game na ndio maana baada ya yeye kuumia tulistruggle Sana kwa team zinazocheza defensive game.
Papaa Gx
juan david
 
Maoni juu ya mechi ya Jana by the way tulicheza kawaida Sana lakini Westham alitufanya tuonekane tumecheza ovyo kupita maelezo na hii ni kwasababu ya aina ya uchezaji wa Westham.Westham ndio team ninayoichukia Sana pale England inapack container la maana ukiwa unawashambulia wanarudi wachezaji wote nyuma wanabaki na striker mmoja tu mbele ndio maana njia nyingi zinakuwa zinazibiwa sisi tulitakiwa tukubali kutake risk kwa kuwalazimisha kuliko kurudisha mpira nyuma na kupiga side passes.

Tushukuru Benchilwell ametuokoa niliwahi kusema humid humu jamiiforum ben akiwa fit huyo Cucurella hawezi kumuweka benchi na si yeye pekee ligi nzima hamna left back mwenye ubora kumzidi Benchilwell watu wakanishambulia hulu wakisema Cucurella kashachukua namba.Kwanini nilitoa ile kauli Benchilwell sio tu left back ni footballer hii kauli inamaana gani? Mtu mwenye kuelewa mpira na anaujua mpira vizuri ndio maana baada yakupata injury tulikosa mbadala wake aliikost team kwasababu ukiachana na kujua kukaba, hamsa anapoenda mbele anageuka kutoka kuwa lwb pekee anakuwa anacheza kama attack midfielder anafanya movement ndani ya box zenye akili kitu ambacho kinasaidia kutengeneza space kwa wachezaji wengine na kuzifungua team zinacheza defensive game na ndio maana baada ya yeye kuumia tulistruggle Sana kwa team zinazocheza defensive game.
Points zako zote ni sahihi kiongozi.
Kwa mechi ya jana, sasa Cucurella ni sub ya Chilwell
Kaingia dk ya 72 ndani nadhani ya dk 4 akafunga goli
Lile goli la pili ambao hawajaangalia mpira watadhani ni Broja katumia akili lakini Chilwell kaua kwanza offside kijanja halafu akarudi haraka ili apatiwe mpira kwenye position nzuri aliyocreate yeye mwenye na kutoa pasi iliyomfikia Havertz hata bila kutumia ufundi akafunga
Mimi naamini ndani ya dk 18 alizocheza Chilwell inatosha kabisa kumfanya Man Of The Match
 
Formation ipi tutumie na nani aanze kwenye starting Line Up dhidi ya Westham?

Formation, mashabiki wa Chelsea waliohojiwa walitoa maoni yao kuwa Chelsea iendelee kutumia 3-4-3 (58%)
Kuhusu wachezaji wa kuanza, haya ndio matokeo
  1. Mendy (79%)
  2. Koulibaly (91%),
  3. Silva (85%),
  4. Fofana (76%)
  5. Cucurella (75%),
  6. Kovačić (83%),
  7. Jorginho (57%),
  8. James (97%)
  9. Sterling (97%),
  10. Broja (63%),
  11. Mount (65%)
Kura zingine ni
  1. Conor Gallagher (43%),
  2. Kai Havertz (36%),
  3. Christian Pulisic (36%),
  4. Ben Chilwell (29%),
  5. Hakim Ziyech (16%),
  6. Trevoh Chalobah (16%),
  7. César Azpilicueta (8%)
  8. Carney Chukwuemeka (5%).
Ila wengi wanataka Broja aanze baadla ya Havertz
Cha kushangaza bado kuna mashabiki wana imani kwa Jorginho
Mashab iki wana imani sana kwa James na Sterling akifuatiwa na Koulibaly
Trust kwa Azpilicueta imepungua sana ni bora tu timu ingewauzia Barcelona
 
Breaking news
Goalkeeper tuliomsajili dirisha hili la usajili Gaga Slonina amefanya save 9 Kwenye mechi ya Jana dhidi ya Columbus crews nakusaidia team yake ya Chicago fire kuondoka na point I.
Keeper Huyo amesajiliwa na Chelsea kwa ada ya Pound 10M kutoka Chicago fire na amebakishwa hapo mpaka logo ya Marekani inapoisha ndipo anarudi darajani, teyari Gaga Slonina ameshafikisha clean sheet 16 hadi sasa na kuwa mchezaji wa umri mdogo akiwa ana umri wa 18 kufikisha idadi kubwa ya cleansheet.
 
Breaking news
Goalkeeper tuliomsajili dirisha hili la usajili Gaga Slonina amefanya save 9 Kwenye mechi ya Jana dhidi ya Columbus crews nakusaidia team yake ya Chicago fire kuondoka na point I.
Keeper Huyo amesajiliwa na Chelsea kwa ada ya Pound 10M kutoka Chicago fire na amebakishwa hapo mpaka logo ya Marekani inapoisha ndipo anarudi darajani, teyari Gaga Slonina ameshafikisha clean sheet 16 hadi sasa na kuwa mchezaji wa umri mdogo akiwa ana umri wa 18 kufikisha idadi kubwa ya cleansheet.
Heshima inarudi taratibu, wanaoshindan nasi watashindwa na kufyata mikia
Bado wale viungo nao hawajaanza kuonyesha makali yao.

Alipohojiwa alisema ni bora angepata saves 3 na ushindi. Nafikiri cleansheet ni nzuri ila tunahitaji points nyingi zitakazotupa ushindi ndio muhimu zaidi.

Huyu golie ni team player zaidi ya misifa anayopewa yeye binafsi

“I’m happy for the accolade, but it’d be better if I made three saves and we got the win. I think the clean sheet is nice, but […] we want to get as much points as possible, so going for the win I think is most important.”
 
Sikio la kufa . Auba ni mwafrika halisi.....
Screenshot_20220904-135801_Chrome.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom