Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Hii timu kama demu wa ubanda hawavai chupi
popote unamuinamisha tu
Unajisikiaje baada ya sisi kushinda
Hii timu kama demu wa ubanda hawavai chupi
popote unamuinamisha tu
Point 3 kwa Chelsea. Makofi kwetu tafadhali🙂Leo ilikua almanusra.
Wapiga kelele mko wapi? Mje basi angalau mupongeze kijiwe hata kinafki
TT ni tatizo. Ni mwoga. Na hakuna mwoga anashinda vita. Uoga ameuambukiza hadi kwa wachezaji. Wanashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa haraka. Mchezaji akipata mpira anababaika hadi huruma. Gallagher will struggle. Uoga wa TT hautamsaidia yeye wala timu. Pathetic!Tatizo la Chelsea Chilwell ametuonyesha wazi, hakuna dynamicity wala kudhubutu, mipasi ya sideways, backward passes hadi dk zinapotea hadi mpinzani wako anakusoma udhaifu wako. Chelsea wanaremba mpira hadi ikafika 70% possesion halafu Westham wanatusanifu tu. Kona hadi kumi tunasanifiwa tu, wao wamepata moja wakaforce hadi ya tatu ikaleta goli. TT abadili hili, sio wachezaji ndio wa kubadilisha, kopcha atoe maagizo, tucheze kandanda la kuthubutu, Auba asipopelekewa mipira hatafunga
Ukweli kabisa yani mpaka sasa TT hajui kikosi cha kumpa matokeo ana bahatisha tuTT ni tatizo. Ni mwoga. Na hakuna mwoga anashinda vita. Uoga ameuambukiza hadi kwa wachezaji. Wanashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa haraka. Mchezaji akipata mpira anababaika hadi huruma. Gallagher will struggle. Uoga wa TT hautamsaidia yeye wala timu. Pathetic!
Uoga wa TT Werner aliumeza wote ndio maana alikuwa akipewa pass anaukimbia mpira. Akipewa pass anaona anategwa.Ukweli kabisa yani mpaka sasa TT hajui kikosi cha kumpa matokeo ana bahatisha tu
Hamna timu kenge nyieHawawezi kuja hapa
Hamna timu kenge nyie
Hamna timu kenge nyie


Kumbuka broja hakupata pre season kwa sababu ya majeruhi,Broja mzuri basi tu kocha anashindwa kumpa nafasi ilipaswa aanze leo
Galagher ni kama anatumia nguvu nyingi kutaka kuprove kitu, rather atulie acheze mpira,TT ni tatizo. Ni mwoga. Na hakuna mwoga anashinda vita. Uoga ameuambukiza hadi kwa wachezaji. Wanashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa haraka. Mchezaji akipata mpira anababaika hadi huruma. Gallagher will struggle. Uoga wa TT hautamsaidia yeye wala timu. Pathetic!
Odoi alikuwa hapa kabla hata ya tuchel, tangu wakat wa sarri ila leo hii tunataka kumpa tt lawama???Odoi kaingia kama sub lakini ndani ya dk 4 tu katoa assist View attachment 2344724
Odoi asingeumia wakati wa Lamps angekuwa na confidence ya hali ya juu. TT hatakwepa lawama kwasababu ya kutoamini wachezaji wake. Anataka matokeo ya haraka. Ndio maana kamuuza Billy Gilmour. Hayuko tayari kumtengeneza. Ndege bila kukimbia runway haiwezi kunyanyuka. Kwanini Gallagher alipokuwa Palace alicheza vizuri na kwa kujiamini kuliko sasa? Kocha wake alimuamini na kumpa confidence. Wewe mwenyewe ulimuona Gallagher leo, decision making yake ilikuwaje. Kwanini akae na mpira hadi anaupoteza? Kuna vitu vingi vinatembea kichwani mwake: kwamba nikifanya hivi au vile huenda nitakosea. He wants to impress lakini hajui afanye nini aweke impression. Kocha yupo kwenye touchline anarap na kurusha mikono hewani kama anakemea mapepo.Odoi alikuwa hapa kabla hata ya tuchel, tangu wakat wa sarri ila leo hii tunataka kumpa tt lawama???
Odoi anapotential ila bado hajajua kuitumia hiyo potential yake.
Ukimuangalia Saka anamda mfupi kwenye premier ila unamuona kabisa ashakuwa mature kuliko odoi
Odoi aliumia wakat wa Sarri tena ilikuwa game dhid ya Burnley kama sijakosea,Odoi asingeumia wakati wa Lamps angekuwa na confidence ya hali ya juu. TT hatakwepa lawama kwasababu ya kutoamini wachezaji wake. Anataka matokeo ya haraka. Ndio maana kamuuza Billy Gilmour. Hayuko tayari kumtengeneza. Ndege bila kukimbia runway haiwezi kunyanyuka. Kwanini Gallagher alipokuwa Palace alicheza vizuri na kwa kujiamini kuliko sasa? Kocha wake alimuamini na kumpa confidence. Wewe mwenyewe ulimuona Gallagher leo, decision making yake ilikuwaje. Kwanini akae na mpira hadi anaupoteza? Kuna vitu vingi vinatembea kichwani mwake: kwamba nikifanya hivi au vile huenda nitakosea. He wants to impress lakini hajui afanye nini aweke impression. Kocha yupo kwenye touchline anarap na kurusha mikono hewani kama anakemea mapepo.
Saka anaaminiwa na kocha wake. Anamwambia go and perform, enjoy your game. You've my backing. Unatarajia afanye vibaya? Hata hao under 23 ukiwatupa uwanjani umewajaza morali watafanya maajabu. Sisi kocha wetu ana mashaka saa zote, wachezaji wake watatuliaje. Labda sasa hivi kwenda mbele atatulia kwasababu amepata wachezaji aliowataka yeye.
Uliangalia game ya Aston Villa na Mancs? Uliona Gerald akibwekabweka hovyo? Aliwaaminisha wachezaji wake kwamba Mancs wanafungika ndio maana walijituma sana na kuwa na discipline ya hali ya juu.

aah au mchezaj amekosea upige makofi kila kocha anastyle yake muangalie pep akiwa katika touchline au Klop unahisi huwa wamekaa kimya pale mtu akikosea au tafuta documemtary ya man city ha amazon uone