Maoni juu ya mechi ya Jana by the way tulicheza kawaida Sana lakini Westham walitufanya tuonekane tumecheza ovyo kupita maelezo na hii ni kwasababu ya aina ya uchezaji wa Westham.Westham ndio team ninayoichukia Sana pale England inapack container la maana ukiwa unawashambulia wanarudi wachezaji wote nyuma wanabaki na striker mmoja tu mbele ndio maana njia nyingi zinakuwa zinazibiwa sisi tulitakiwa tukubali kutake risk kwa kuwalazimisha kuliko kurudisha mpira nyuma na kupiga side passes.
Tushukuru Benchilwell ametuokoa niliwahi kusema humu humu jamiiforum ben akiwa fit huyo Cucurella hawezi kumuweka benchi na si yeye pekee ligi nzima hamna left back mwenye ubora kumzidi Benchilwell watu wakanishambulia humu wakisema Cucurella kashachukua namba.Kwanini nilitoa ile kauli Benchilwell sio tu left back ni footballer hii kauli inamaana gani? Mtu mwenye kuelewa mpira na anaujua mpira vizuri ndio maana baada yakupata injury tulikosa mbadala wake aliikost team kwasababu ukiachana na kujua kukaba, hasa anapoenda mbele anageuka kutoka kuwa lwb pekee anakuwa anacheza kama attack midfielder anafanya movement ndani ya box zenye akili kitu ambacho kinasaidia kutengeneza space kwa wachezaji wengine na kuzifungua team zinacheza defensive game na ndio maana baada ya yeye kuumia tulistruggle Sana kwa team zinazocheza defensive game.
Papaa Gx
juan david