Hiki kikosi nichakuchukua kombe lolote
Nisipomuona Kai kwenye final third lineup nakuwa na ka- raha fulani hivi.
Hiki kikosi nichakuchukua kombe lolote
Leo na nyundo zenu mtachambia maji ya chumvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui nacheka nini any way wagonga nyundo wa London tupige pale pale kwenye mshono viva west ham [emoji91][emoji91][emoji91]
At least tumepata DM hayo mengine tutaona..maana game ambayo ilionyesha tunauhitaji WA DM n vs Soton aiseeMbona kama Bakayoko hivi?
Acha chuki n umbea mkuuKwahiyo mmekubali kusajili flop iliyofeli EPL mwenye uzee wa miaka 33.
Hizi NSSF hazitoisha!
Karibu sana. Natumai ni heri huko ulikopoteleaMuko nafasi ya ngapi vibonde?
Tulikuwa jandoni [emoji851]Nyie kenge mnavyosema leo ndio mnaanza ligi, kwani mwanzo mlikua wapi?
Havert nje auSterling
Pulisic
Cucurella
Kovacic
Gallagher
Cheek
James
Koulibally
Silva
Fofana
Mendy