Mount ana 23yrs hadi January, 10 ndio anafikisha 24, pili huyu usimjudge hata kidogo, timeline ya yeye kuteremka form ni ndogo sana na bado yuko kwenye umri wa kukua kimpiraMkuu usitumie kigezo cha umri peke kupima uwezo wa striker hapana kuna vipimo vingi hususani katika Epl uzoefu ni muhimu sanaa, na siku hizi mpira umebadilika sanaa, kuna wenye umri mdogo wame shindwa mpira mapema, na kustaafu ........kwa mfano angalia Mount pamoja na kua na 24yrs anatafuta form kama mchezaji wa miaka 35.
Hapo kuna mechi 3 mnashonwa, draw moja na ushindi wa mbinde moja.
Tumepoteza mechi mbili tu tena sio mfululizo, mara nyingi huko nyuma kocha anatimuliwa kwa kukosa mechi nyingi mfululizo.
Wewe naona umepotea njia, soma thread ilipoanzia halafu urudi tena kuchangia, safari hii kwa ustaarabu zaidiMkuu bingwa wa epl hapotezi mechi 5, bado hamjacheza big mechi yoyote umeshapoteza mechi 2 tayari.
Mnajiondoa kwenye ubingwa labda kama hamna mpango na ubingwa.
Mara nyinyi bingwa anafungwaga mechi 3 msimu mzima sasa nyinyi mwanzoni tu mechi 2 tayari.
Nilitabiri msimu ulioisha kwamba tuchel msimu huu mtamfukuza.Dalili zote naziona
Hao takataka wote tunapigaaaaa
Timu haikuwa sawa!! Kwa sasa kuna balance ....striker yupo mabeki wapo mamido wapo... yeye 2 sasaKumkosoa kocha Haina maana ni kumchukia, akifanya vizuri tutamsifia
Hapo vipi
Na Aubameyang no. 9Zakaria atavaa jersey no 20.
Fofana atavaa jersey no 33.
Hii namba kwetu hainaga bahati kabisa bora angechagua namba nyingineNa Aubameyang no. 9
Sidhani kama umri wa Auba ni tatizo. Mbona Lewandoski (33) bado anakimbiza? CR7 msimu ulioisha (37) pamoja na kwamba Man U hawakuingia top 4 alifunga 20+? Ibrahimovich anaenda 40+ na bado anamchango wa magoli kwa timu yake? Vijana wadogo tulionao na umri wao hakuna aliyefikisha 2 digits consistently.Natoa tahadhari
Tusiwe na mahopes mengi kwa Aubameyang kwa sababu huyu Aubameyang wa Chelsea sio yule wa Borussia Dortmund wa 2018 au wa Arsenal wa 2021 aliyekuwa anafunga hadi magoli 20+, Huyu wa kwetu ana miaka 33, ni wachezaji wachache katika umri huo wanaweza kumeintain pace, na uklatili golini
Najua fika hatakuwa kama Lukaku, Batshuayi au Havertz atatupa magoli zaidi ila sitegemei wonders kwake
Najua pia kuwa wanaweza wakaform partnership nzuri na Sterling na Ziyech** au Mount form yake ikirudi
Pia najua atashirikiana vyema na akina Kante Cucurella na James hao wachezaji niliowataja ndio nawaamini wanaweza kumpa ushirikiano. Ziyech akiondoa mentality mbaya nba kuanza ukurasa mpya chini ya Chelsea mpya anaweza akamalizia career yake Chelsea kwa uzuri ila akiendelea kudeka January itabidi asepe
Auba amefeli vipi? Mbona kama una ushabiki maandaziKwahiyo mmekubali kusajili flop iliyofeli EPL mwenye uzee wa miaka 33.
Hizi NSSF hazitoisha!
Huyu ni Mwafrika,ukisikia ana 33 basi jua ni 40+Sidhani kama umri wa Auba ni tatizo. Mbona Lewandoski (33) bado anakimbiza? CR7 msimu ulioisha (37) pamoja na kwamba Man U hawakuingia top 4 alifunga 20+? Ibrahimovich anaenda 40+ na bado anamchango wa magoli kwa timu yake? Vijana wadogo tulionao na umri wao hakuna aliyefikisha 2 digits consistently.
Mbona Onyango bado anacheza?Huyu ni Mwafrika,ukisikia ana 33 basi jua ni 40+
