Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwenye dirisha hili la usajili Chelsea imeweka rekodi mpya kwa kutumia pesa nyingi katika usajili wake.
Nichukue nafasi hii kumpongeza Tajiri wetu Boehly kiukweli amefanya kazi kubwa Sana kwenye Hili dirisha ametuprove wrong wapenzi wengi wa chelseafc dirisha la kwanza tu ametumia kiasi kikubwa Cha fedha kwenye usajili nadhani kuliko Tajiri wowote wa Teams za Ulaya na kikubwa zaidi amezingatia mahitaji ya kocha hata pale ambapo kuna wachezaji alikuwa anawataka binafsi kama Ronaldo lakini kwazingatia Mapendezo ya TT ameamua asimsajili tu kwasababu TT amemkataa.

Kutokana na usajili Huu uliofanyika TT ana deni kubwa kwa mashabiki kwasababu kapewa kila kitu na Wamiliki hana excuses zozote zaidi ya kuona tunapata matokeo yenye kutupa makombe.Kazi imebaki kwake tuone nini atafanya na hamu kubwa leo nini ataongea kwenye press conference atakayoifanya jioni ya leo baada ya dirisha kufungwa.
 
Fenerbahce has made an agreement with Chelsea for the transfer of Michy Batshuayi to their team.

The football player will come to Istanbul to make the interviews, pass the health check and advance the process.
 
Skizeni nyie mamluki ..ligi ndio imeanza Sasa..Nani ayiogopi Chelsea?? Nyie matakataka munaomchukia TT tafuteni timu za kwenda ..achana na Chelsea yetu
kweli kabisa sasa hivi timu zote za Epl zinatetemeka zikisikia zinaenda kucheza na Chelsea, hii yote ni baada Chelsea kukamilisha usajili wa mchezaji nguli kabisa Denis Zacharia huyu hapa chini.
Screenshot_20220902_151002.jpg
 
Natoa tahadhari
Tusiwe na mahopes mengi kwa Aubameyang kwa sababu huyu Aubameyang wa Chelsea sio yule wa Borussia Dortmund wa 2018 au wa Arsenal wa 2021 aliyekuwa anafunga hadi magoli 20+, Huyu wa kwetu ana miaka 33, ni wachezaji wachache katika umri huo wanaweza kumeintain pace, na uklatili golini
Najua fika hatakuwa kama Lukaku, Batshuayi au Havertz atatupa magoli zaidi ila sitegemei wonders kwake
Najua pia kuwa wanaweza wakaform partnership nzuri na Sterling na Ziyech** au Mount form yake ikirudi
Pia najua atashirikiana vyema na akina Kante Cucurella na James hao wachezaji niliowataja ndio nawaamini wanaweza kumpa ushirikiano. Ziyech akiondoa mentality mbaya nba kuanza ukurasa mpya chini ya Chelsea mpya anaweza akamalizia career yake Chelsea kwa uzuri ila akiendelea kudeka January itabidi asepe
 
kweli kabisa sasa hivi timu zote za Epl zinatetemeka zikisikia zinaenda kucheza na Chelsea, hii yote ni baada Chelsea kukamilisha usajili wa mchezaji nguli kabisa Denis Zacharia huyu hapa chini. View attachment 2343188
Hizi picha za watu innocent mnazotumia kufikisha ujumbe wenu wa kukejeli mtakuja siku moja kulipa gharama kubwa
 
Natoa tahadhari
Tusiwe na mahopes mengi kwa Aubameyang kwa sababu huyu Aubameyang wa Chelsea sio yule wa Borussia Dortmund wa 2018 au wa Arsenal wa 2021 aliyekuwa anafunga hadi magoli 20+, Huyu wa kwetu ana miaka 33, ni wachezaji wachache katika umri huo wanaweza kumeintain pace, na uklatili golini
Najua fika hatakuwa kama Lukaku, Batshuayi au Havertz atatupa magoli zaidi ila sitegemei wonders kwake
Najua pia kuwa wanaweza wakaform partnership nzuri na Sterling na Ziyech** au Mount form yake ikirudi
Pia najua atashirikiana vyema na akina Kante Cucurella na James hao wachezaji niliowataja ndio nawaamini wanaweza kumpa ushirikiano. Ziyech akiondoa mentality mbaya nba kuanza ukurasa mpya chini ya Chelsea mpya anaweza akamalizia career yake Chelsea kwa uzuri ila akiendelea kudeka January itabidi asepe
Mkuu ukiangalia sasa hivi mastrikers wengi wenye umri mkubwa ndio wanafanya vizuri nenda italy kule kuna mwamba wa Lazio, Barca Wana Lewandowski, Ronaldo kapiga goal 18 msimu uliopita akiwa na umri wa miaka 35, Angalia Benzema na Kane wanachofanya japo Wana umri mkubwa.Binafsi na imani kubwa Sana kwa Auba ataalivyoenda Barca kwenye mechi 17 alizocheza kafunga goal 11 ni mchezaji mzuri imani yangu ipo kwake kwasababu pia ana fit style ya uchezaji wa TT.
 
Umeona sajili tulizofanya?
Msimu ndio kwanza umeanza ..kufungwa mechi mbili tu hakutufanyi tukaanza tumjaji kocha wakati munajua kabisa tumetoka kwenye matatizo na wachezaji wengi wa muhimu waameondoka. Munataka TT afaanyaje? Tumpe Muda usajili ndio umefungwa Randi kikosi kitakuwa kipana tuna option nyingi za wachezaji.
 
Mkuu ukiangalia sasa hivi mastrikers wengi wenye umri mkubwa ndio wanafanya vizuri nenda italy kule kuna mwamba wa Lazio, Barca Wana Lewandowski, Ronaldo kapiga goal 18 msimu uliopita akiwa na umri wa miaka 35, Angalia Benzema na Kane wanachofanya japo Wana umri mkubwa.Binafsi na imani kubwa Sana kwa Auba ataalivyoenda Barca kwenye mechi 17 alizocheza kafunga goal 11 ni mchezaji mzuri imani yangu ipo kwake kwasababu pia ana fit style ya uchezaji wa TT.
Afu uzuri TT anamjua maana kacheza naye akiwa Borrussia
 
Tunabet kwenye mfumo wa TT labda atafit in, hatukuwa na option
Alicheza vizuri sana akiwa Bundesliga, mambo yake hayakwenda vizuri alipohamia Juventus dirisha dogo la January 2022
Huyu toka akiwa German sikuwa na shida sana kwa uchezaji wake ila kule juve sijamfwatilia sana
 
Natoa tahadhari
Tusiwe na mahopes mengi kwa Aubameyang kwa sababu huyu Aubameyang wa Chelsea sio yule wa Borussia Dortmund wa 2018 au wa Arsenal wa 2021 aliyekuwa anafunga hadi magoli 20+, Huyu wa kwetu ana miaka 33, ni wachezaji wachache katika umri huo wanaweza kumeintain pace, na uklatili golini
Najua fika hatakuwa kama Lukaku, Batshuayi au Havertz atatupa magoli zaidi ila sitegemei wonders kwake
Najua pia kuwa wanaweza wakaform partnership nzuri na Sterling na Ziyech** au Mount form yake ikirudi
Pia najua atashirikiana vyema na akina Kante Cucurella na James hao wachezaji niliowataja ndio nawaamini wanaweza kumpa ushirikiano. Ziyech akiondoa mentality mbaya nba kuanza ukurasa mpya chini ya Chelsea mpya anaweza akamalizia career yake Chelsea kwa uzuri ila akiendelea kudeka January itabidi asepe
Mkuu usitumie kigezo cha umri peke kupima uwezo wa striker hapana kuna vipimo vingi hususani katika Epl uzoefu ni muhimu sanaa, na siku hizi mpira umebadilika sanaa, kuna wenye umri mdogo wame shindwa mpira mapema, na kustaafu ........kwa mfano angalia Mount pamoja na kua na 24yrs anatafuta form kama mchezaji wa miaka 35.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom