Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1662044393067.png
 
Billy Gilmour kaondoka baada ya kukutana na TT
Sasa anakuwa mchezaji rasmi wa Brighton on parmanent deal
Hawa Brighton wametuzoea
 
Hakuna wakati tumeanza league hovyo kama wakati huu ,na Roman angekuwepo mwanzo mbaya ni kufukuza kocha ,Chelsea ya Roman haijawai kukubali ujinga
Nadhan umesahau msimu ule wa Mourinho, 2015/16
December mourinho anafukuzwa.
 
TT ana matatizo sana!
Ngoja tuone...!
Wakati wa Lampard alikuwa nacheza vizuri na kuna mechi kama mbili alishakuwa MOTM
Amekuja TT hapatani naye kabisa, nasikia Todd Boehly alitaka kukataa uuzwaji wake lakini TT akakubali. Billy kalazimisha kutoka kwa sababu damu yake na TT haziendani kabisa na hii ilionekana tangu preseason kule USA

TT ni ready made coach, anaweza kuwanunua wachezaji waliopikwa kwingine hata kama hawajaiva vizuri na kuwaacha wacheza waliopikwa vizuri na academy ya Chelsea pengine hata na kuwazidi wale wa nje

Uzuri mmoja huuu usajili uliofanyika wa pesa nyingi ndio utakaomuondoa darajani asipofanya vizuri
 
Denis Zacharia now upepo umehamia huku baada ya deal la Edson Alvarez n sangare kushindikana,

Zacharia alikuwa mzuri sana shida yake ni majeruhi ya mara kwa mara.

Nawasiwasi isijekuwa saul 2.0
 
Denis Zacharia now upepo umehamia huku baada ya deal la Edson Alvarez n sangare kushindikana,

Zacharia alikuwa mzuri sana shida yake ni majeruhi ya mara kwa mara.

Nawasiwasi isijekuwa saul 2.0
Hata hivyo dili lake ni la mkopo
 
Huyo dogo endapo tutampata itakuwa poa sana, dogo yuko njema sana.
The FA is not blocking the possible transfer of Dynamo midfielder Arsen Zakharyan to #Chelsea. Negotiations remain ongoing, decisive round of talks will take place today.

[via sportexpress]

#DeadlineDay | @Chelsea_247_news
 
Huyo dogo endapo tutampata itakuwa poa sana, dogo yuko njema sana.
Tatizo sio FA, tatizo ni namna ya malipo, makubaliano yote yameshafikiwa na timu mbili lakini kutokana na vikwazo vilivyowekewa benki za Urusi, lazima Dinamo walipwe kupitia benki za kigeni na sio zile za Urusi
 
Wakati wa Lampard alikuwa nacheza vizuri na kuna mechi kama mbili alishakuwa MOTM
Amekuja TT hapatani naye kabisa, nasikia Todd Boehly alitaka kukataa uuzwaji wake lakini TT akakubali. Billy kalazimisha kutoka kwa sababu damu yake na TT haziendani kabisa na hii ilionekana tangu preseason kule USA

TT ni ready made coach, anaweza kuwanunua wachezaji waliopikwa kwingine hata kama hawajaiva vizuri na kuwaacha wacheza waliopikwa vizuri na academy ya Chelsea pengine hata na kuwazidi wale wa nje

Uzuri mmoja huuu usajili uliofanyika wa pesa nyingi ndio utakaomuondoa darajani asipofanya vizuri
Nilisema hili huu usajiri asipotumia vizuri itakuwa ndo tiketi ya yeye kuondoka hakuna tajiri atayekubali awekeze halafu timu ifanye vibaya
TT ana matatizo na baadhi ya wachezaji hilo linaonekana kabisa nafikiri ndio chanzo timu kucheza vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom