Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kocha wetu anatufelisha sana ingawa Tumepata Tajiri Sio mbahili kamsajili chikumeka mechi ya nne hii kaa benchi wakati unatatizo la midfielder sasa alimsajiri wa nini? Jorginho hakuna chochote anachofanya na unaona kabisa kwanini unamn'gan'gania? Wakati una Gilmour. James, Tammy abraham, Tomori na Mount walipata nafasi kwasababu tulifungiwa kusajili nawakaonesha kitu lakini Huyu kocha wetu unaona kabisa seniors wanazingua kwanini usione hii ndio nafasi yakuwapa madogo ? Mendy kadrop sana na una Kepa kwanini usimpuzishe Mendy angalau ajifunze?

Jambo lingine inalonikera kuliko maelezo ni kumn'gan'gania takatakata Kai wakati ana natural striker mzuri tu Broja angalia performance alionesha Ziyech japo hakucheza mechi zote 3 za awali kwa style hii utasema Ziyech mbaya? au apewi nafasi?

By the way Sio kwamba tuna kikosi kibovu bali TT anachangia kwa kiasi kikubwa tuonekane ni ovyo

Tunawasubiri mjipitishe kwetu na kanga moja
 
Since wayback nilikuq nqsema huyu kocha hana akili zaidi ya kuweka mabeki 3 nyuma kuna kiazi kimoja kikawa kinanibishia. Kinaleta takwimu na madrama mengine.

Kuna watu hua hawaangalii mpira wanasubiri wachambuzi waongee ndiyo waje kusema. Matokeo yake wakaamini kweli tuchel atatengeneza timu ya kuogopwa.

Asipobadilika atavumiliwa labda mpaka krismas. Olashoga na lembua nawasalimia.

Ndugu yangu OllaChuga Oc ,kuna Salamu zako.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa hawa matajiri kama wana mpango wa kumuongezea mkataba TT waache kabisa maana anakotupeleka ni kubaya

Ukweli ni kuwa TT hana mbinu za kueleweka kiufupi ameishiwa kabisa timu inacheza kama ipo chandimu kwa mda aliokaa unatosha hawezi kutupeleka kokote kwa aina hii ya mpira

Wale mliokuwa mnatetea TT mje sasa na sababu zinazoeleweka maana mnajionea wenyewe madudu tangu pre season hali yetu ilikuwa mbaya
@OllaChuga Oc mlituaminisha mna timu nzuri

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nyie cheltako mnapata wapi nguvu ya kulala mpaka saizi amka takataka nyie
20220503_002247.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom