Wanampondaga shida ni kocha
Wanampondaga shida ni kocha
2nd half hakuna chochote alichokuwa anakifanyaWanampondaga shida ni kocha
Sio hakuna chochote alichofanya team yote ilikuwa flop muunganiko ulikuwa haupo2nd half hakuna chochote alichokuwa anakifanya
Msimu uliopita nilimsema sana huyo jaluo watu Waka ishambulia kweli kweli. Mendy naye takataka, Hana consistency Tena Leo supa kesho hovyo. Time will tellMendy nowform yake imeshuka sana, goal la 1 la soton, angeweza toa ule mpira,
Kuna wachezaj wakikaa hata bench kwa mda akili zitawakaa sawa(mendy,havertz,mount)
Wameondoka wawili na wengine wazeeIssue ya mabeki nadhan unasahau kuwa kuna 2cb wameondoka tunareplace waliondoka,
Huyo takataka akiwepo Hadi December naacha kuangalia mechi za Chelsea. It will be a wastage of timeKwanza kabisa hawa matajiri kama wana mpango wa kumuongezea mkataba TT waache kabisa maana anakotupeleka ni kubaya
Ukweli ni kuwa TT hana mbinu za kueleweka kiufupi ameishiwa kabisa timu inacheza kama ipo chandimu kwa mda aliokaa unatosha hawezi kutupeleka kokote kwa aina hii ya mpira
Wale mliokuwa mnatetea TT mje sasa na sababu zinazoeleweka maana mnajionea wenyewe madudu tangu pre season hali yetu ilikuwa mbaya
Jamaa hebu lala kwanza utulie maana unaweza kufa kwa ghadhabu.. timu nzuri zipo mwenyewe ukachagua hawa underdogs.😂Huyo takataka akiwepo Hadi December naacha kuangalia mechi
Nafikiri angeendelea na plan ya kuunda timu inayoogopwa duniani koteTuchel: "Soft, soft, soft defending. There is no need to give shots away. Just toughen up as a team and show a different mentality, it seems very easy to beat us and I don’t like it”
Tuchel : “It’s too easy to bully us
Tutasema yote ila Tatizo lipo kwa Takataka TT YULE MDIO MJINGAKocha wetu anatufelisha sana ingawa Tumepata Tajiri Sio mbahili kamsajili chikumeka mechi ya nne hii kaa benchi wakati unatatizo la midfielder sasa alimsajiri wa nini? Jorginho hakuna chochote anachofanya na unaona kabisa kwanini unamn'gan'gania? Wakati una Gilmour. James, Tammy abraham, Tomori na Mount walipata nafasi kwasababu tulifungiwa kusajili nawakaonesha kitu lakini Huyu kocha wetu unaona kabisa seniors wanazingua kwanini usione hii ndio nafasi yakuwapa madogo ? Mendy kadrop sana na una Kepa kwanini usimpuzishe Mendy angalau ajifunze?
Jambo lingine inalonikera kuliko maelezo ni kumn'gan'gania takatakata Kai wakati ana natural striker mzuri tu Broja angalia performance alionesha Ziyech japo hakucheza mechi zote 3 za awali kwa style hii utasema Ziyech mbaya? au apewi nafasi?
By the way Sio kwamba tuna kikosi kibovu bali TT anachangia kwa kiasi kikubwa tuonekane ni ovyo
Si homeboy yaan sie tupo huku tunaona yye kweli haoni? Anakiburi jinga jinga lileKila siku nasema hapa Havertz ni bonge la takataka, sijui kwanini Tuchel amemng'ang'ania.