Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi cha cheltako kikipanga mikakati ya timu ya muda mfupi na muda mrefu
1661348627663.jpg
 
Mtakaondelea kulilia 4atb endeleeni kulilia ila ukweli ni hatuwez cheza 4atb kwa sasa hatuna namba 6 anayeweza fanya kaz ya Rodri,fabinho etc.
Kwa kikos cha sasa kucheza back 4 ni kama unataka kila game uwe unafungwa

Mara zote tukitanguliwa ndio imetoka its either draw or kulose no response from player tunapokuwa tuko nyuma,.

Goal la 2 la Soton, Jorginho pale alishindwa cheza hata tactical faulo,

Tunaquantity kuliko quality kwenye kikosi chetu,
Sterling kule mbele kama anacheza peke yake vile.
 
2015/16 kilichotokea kwenye huu msim tusipokuwa makini kitatokea tena msim huu, unless tuzinduke maana tunacheza kama hatutaki
Ukimtoa sterling, our forward wana 0 goals n 0 assist katika 5match
 
Kuna kenge inaitwa Mkohoti ,

Timu lako bovu halafu unakuja jukwaani kwetu kupitisha Domo

Hili timu halina forward ,lipo lipo tu,

Linategemea Rahim Sterling anayepatikana chance 5 anafunga 1 awaokoe

Limetumia £130m+ kwa mabeki lakini bado wanalitoboa

Na mkimleta Auba anakuja kuwa flop
 
Ukijumlisha umri wa mabeki wazee wa Chelsea unapata miaka 100

Hii timu tuliipiga 4 preseason mkasema tunaionea

Mech 1 tu mlicheza vzr dhid ya Spurs ,na sababu Spurs wanakaa nyuma wakuvizia kaunta

Ila Everton, Leeds hata Leicester wamewabishia vzr tu

Endeleeni kujaza mabeki na wazee kina Auba

Yule Fofana mwambie Gab Martine anamsubiri Tena
 
Mendy now form yake imeshuka sana, goal la 1 la soton, angeweza toa ule mpira,

Kuna wachezaj wakikaa hata bench kwa mda akili zitawakaa sawa(mendy,havertz,mount)
 
Ukijumlisha umri wa mabeki wazee wa Chelsea unapata miaka 100

Hii timu tuliipiga 4 preseason mkasema tunaionea

Mech 1 tu mlicheza vzr dhid ya Spurs ,na sababu Spurs wanakaa nyuma wakuvizia kaunta

Ila Everton, Leeds hata Leicester wamewabishia vzr tu

Endeleeni kujaza mabeki na wazee kina Auba

Yule Fofana mwambie Gab Martine anamsubiri Tena
Issue ya mabeki nadhan unasahau kuwa kuna 2cb wameondoka tunareplace waliondoka,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom