Chelsea haina mfumo mzuri wa kumlisha no tisa hata haaland aligoma kuja chelsea kwa sababu alijua chelsea haijui kutumia namba tisa.
Lukaku afanye vizuri.
werner ni mzuri sana ila mtu unamuweka pembeni.
broja nae ataondoka.
hata aubameyong tukizubaaa atafeli na ile tisa
kuna kipindi lukaku yupo site ila hawampi mipira wa kupenyeza.
ukiwa unatizama goli anafunga haaland pale city,dortmumd, ukitizama lewandowski utajua kbsa chelsea hatuna mfuml mzuri wa kumlisha tisa au kumtumia toka drogba na costa waondoke.