Nakushangaaga unavyokuja kwenye jukwaa la Arsenal kutoa shit bro mechi ishaisha hii goodbye [emoji112]THE BLUES kikosi chetu cha kuunga unga na soletepu. Tunacheza bila utaratibu maalumu bora liende.
Si mnamuhitaga TakatakaZiyech asiruhusiwe ku exit, anatufaa sana
Mkuu mbona ziyech anacheza kulia au macho yanguMadhara ya Sterling kucheza kulia hawezi kutumia mguu wa kushoto. Sijui TT ana mpango Gani kumchezesha Ziyech kushoto na Sterling kulia?
Mfano wote wamekosa magoli ya wazi Kwa sababu ya kutumia wrong foot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenge ni kenge tu.THE BLUES kikosi chetu cha kuunga unga na soletepu. Tunacheza bila utaratibu maalumu bora liende.
Mbona ni kawaida takataka kung'ang'anianaKila siku nasema hapa Havertz ni bonge la takataka, sijui kwanini Tuchel amemng'ang'ania.