Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1661888631951.png
 
Wazee wa kamubaki na red card Leo mtatueleza vizuri kenge ninyi

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
hata hivyo leo wamejitahidi sana, mpaka HT hakuna mchezaji aliekula umeme.
Ila kwa jinsi walivyo panic sidhani kama kipindi cha pili watamaliza salama bila mchezaji yoyote kupigwa shoti.
Raha sana kuona Kenge zikiteseka.
 
A big shame kama tutapoteza hata point moja kwenye hii game
 
Kijana wetu huyo ni HT tu kashapiga Hattrick hukoView attachment 2340437
hii TT aisome
Mbinu na mifumo ya TT kule mbele ndio mibovu na bado anatetewa
Yeye anaweka msisitizo tu kwenye mabeki ndio maana hata katikati haoni kama kuna tatizo. Karidhika na akina Jorginho na RLC wakati hao ndio walitakiwa kuwalinda mabeki
 
Hivi mna uhakika huyu babu kweli ni kocha ?
 
Chelsea Leo hawako agressive na pia very predictable kwenye pasi
 
hii TT aisome
Mbinu na mifumo ya TT kule mbele ndio mibovu na bado anatetewa
Yeye anaweka msisitizo tu kwenye mabeki ndio maana hata katikati haoni kama kuna tatizo. Karidhika na akina Jorginho na RLC wakati hao ndio walitakiwa kuwalinda mabeki
Me naona kwa werner, ligi ilimkataa tu sio kwamba chance alikuwa hapat. Chance za kuscore alikuwa anapata ni vile alikuwa hayuko clinical
 
Yaani hata Soton hawachezi vizuri ila tunashindwa kuwafunga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom