Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

View attachment 2334746

Screenshot_2022-08-25-20-00-49-145_com.android.chrome.jpg
 
Huyo hatakuwepo December2022
Ndio kwanza wanataka kumuongezea mkataba, kitu cha kujua nikuwa utawala umebadilika, kama angekuwa Roman tuchel angeondoka due to sintofaham za wachezaj lukaku,pulisic,ziyech n werner.

Ila kwa sasa kuna uwezekano Tuchel kuendelea kuwepo.
 
Cheltako makundi ya uefa mmeyaona sasa na huyo kipa wenu baada ya kudaka mipira anafuga tako tu bora mjitoe mapema chelyatima fc
 
Cheltako makundi ya uefa mmeyaona sasa na huyo kipa wenu baada ya kudaka mipira anafuga tako tu bora mjitoe mapema chelyatima fc
Ukija uwe unakitambulisha wewe ni timu gani?

Kama ni nyumbu au Arsenyeto unapata wapi Audacity ya kuingia humu wakati kitimu chako cha mchongo hakipo hata UCL?

Kwendraaaa Uropa huko ukakatike viuno.
 
Ndio kwanza wanataka kumuongezea mkataba, kitu cha kujua nikuwa utawala umebadilika, kama angekuwa Roman tuchel angeondoka due to sintofaham za wachezaj lukaku,pulisic,ziyech n werner.

Ila kwa sasa kuna uwezekano Tuchel kuendelea kuwepo.
Hayupo kwenye soka mmiliki atakayemvumilia kocha anayeipeleka timu pabaya na hasa kama timu hiyo ni Chelsea iliyozoea kubeba makombe na inayotumia pesa nyingi kuunda timu na pia kama kocha aliruhusiwa kuwachagua wachezaji anaowataka . Uvumilivu utategemea pia Chelsea itakuwa inafanyeje kwenye ligi na iko nafasi ya ngapi wakati wa Desemba 2022!
 
Aub kashawaaga mashabiki wa Barca wakati walipocheza na Man city juzi, jana kaonekana uwanja wa ndege akielekea Paris kwenye familia yake tayari kuja London kwa kupima mkojo na kuvaa jezy ya bluu
1661487836302.png
 
Ziyech akihamia Tottenham atatuumiza sana kwa sababu Ziyech anafit sana kwenye style ya Conte
 
Lakini kwanini tunatapa tapa, TT ajitahudi kua flexible na mfumo wake wauchezeshaji kwanini anaogopa kutafuta FW na cmf kwasbb ajiamini na system yake.
3 atb inacover mapungufu ya wachezaj wengi ndio sababu tuchel inabidi atumie mpk hapo atakapohis kapata wachezaj watakaomfanya abadilishe mfumo

4atb inafavour sana watu wambele, ila wakat huo huo nyuma inakuwa kama tumeweka shati vile. Unascore wakat huo huo unaconcede,

Ukiangalia wakat yuko Dortmund o Psg utajua system yake ni ipi, hii ya sasa inambidi, kuyokana ma hali aliyoiona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom