Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,791
Sisi kama Leicester city tunapiga pale pale kwenye mshono 

TT HAKUNA KITU PALEZiyech akihamia Tottenham atatuumiza sana kwa sababu Ziyech anafit sana kwenye style ya Conte
Conte anatuma 343/352 kwa kigezo kipi unasema ziyech atafit kwa ConteZiyech akihamia Tottenham atatuumiza sana kwa sababu Ziyech anafit sana kwenye style ya Conte
Kwani formation ndio inaamua counter??Conte anatuma 343/352 kwa kigezo kipi unasema ziyech atafit kwa Conte
Conte nimtu anaependa Counter attack n wachezaj wake mda wote anataka wahangaike.
Me navyojua Ziyech akicheza kwenye 433 ndio huwa anafit ilantofaut nahapo hapana

Pulisic sio flop, hajawahi kucheza zaidi ya anavyocheza hapa Chelsea Borussia Dortmund alikuwa hivi hiviTami Abraham
Timo Werner
Lukaku bolingoli
Now anamtaka Auba, Kuna shida mahala sio bure,,, pia bado analalamika wachezaji hawako happy, wengine wanataka kuondoka !!
TT sio kocha anaeweza kujenga mahusiano mazuri na wachezaji kwa muda mrefu,, Ni mtu wa mpito, mafanikio kwa muda mfupi na kuondoka ,, Ni mourhino type flani hivi !!!
Refer kilichomtoa PSG, pamoja na uwekezaji wote ule lakini alikuwa hapatani vyema na baadhi ya mastaa wakubwa akiwemo mbappe na Neymar! Ni mtu wa panic na jazba!
TT Ni kirusi pale Chelsea,,,,
ziyech -flop
Pulisic -flop
Harvets- flop
Mount sio Yule!
Sababu iliyomtoa psg ni kugombana na uongoziTami Abraham
Timo Werner
Lukaku bolingoli
Now anamtaka Auba, Kuna shida mahala sio bure,,, pia bado analalamika wachezaji hawako happy, wengine wanataka kuondoka !!
TT sio kocha anaeweza kujenga mahusiano mazuri na wachezaji kwa muda mrefu,, Ni mtu wa mpito, mafanikio kwa muda mfupi na kuondoka ,, Ni mourhino type flani hivi !!!
Refer kilichomtoa PSG, pamoja na uwekezaji wote ule lakini alikuwa hapatani vyema na baadhi ya mastaa wakubwa akiwemo mbappe na Neymar! Ni mtu wa panic na jazba!
TT Ni kirusi pale Chelsea,,,,
ziyech -flop
Pulisic -flop
Harvets- flop
Mount sio Yule!
TT HAKUNA KITU PALEZiyech akihamia Tottenham atatuumiza sana kwa sababu Ziyech anafit sana kwenye style ya Conte
Lampard mahaba yake kwa Tammy yalimgharimu. Giroud alikuwa far better kwenye kufunga ila kwa sababu ambazo sijawahi zijua alisugua benchi mbele ya Tammy!Ukimtoa Abraham n Lukaku. Je wakat wa lampard ambae alikuwa anacheza soka la kushambulia kuna yeyote hapo mpk lampard anafukwaza January alikuwa ashafikisha hata 10 goals n 10 assist kwenye league.
Ulishawahi kuwa frustrated?If hao wachezaj wangekuwa wanascore chance wanazopata wasingekuwa flop
Kwamba wachezaj wako frustrated tangu wakat wa lampard???Ulishawahi kuwa frustrated?
Some, Yes!Kwamba wachezaj wako frustrated tangu wakat wa lampard???
Ziyech ni mzuri tim inapokuwa inashambulia kama ilivyokuwa ajax ila kwenye issue ya kuutafuta mpira hapana.Kwani formation ndio inaamua counter??
Ziyech bila kujali formation anafit kwenye counter approach. TT hakuwa nayo, kule Ajax ndio walikuwa wanacheza sana
Take my word, iwe 343, iwe 352 iwe 433 kama ni counter Ziyech anafit humo
Sababu iliyomtoa psg ni kugombana na uongozi
Ukimtoa Abraham n Lukaku. Je wakat wa lampard ambae alikuwa anacheza soka la kushambulia kuna yeyote hapo mpk lampard anafukwaza January alikuwa ashafikisha hata 10 goals n 10 assist kwenye league.
Na si kwamba chance hatucreate tunacreate chance ila mtu anakosa
Kufunga hufundishwi, 1v1 unakosa, kwa zile chance wanazokosa wakina Havertz,mount unahis striker mzuri anakuacha,
Game ya spurs unahisi zile chance tulizokosa utamlaum kocha??
If hao wachezaj wangekuwa wanascore chance wanazopata wasingekuwa flop

Unajitahidi sana kumtetea TT lakini madhaifu yake unayaficha na yameshaanza kuonekana ni swala la mda tu wote tutaongea lugha mojaSababu iliyomtoa psg ni kugombana na uongozi
Ukimtoa Abraham n Lukaku. Je wakat wa lampard ambae alikuwa anacheza soka la kushambulia kuna yeyote hapo mpk lampard anafukwaza January alikuwa ashafikisha hata 10 goals n 10 assist kwenye league.
Na si kwamba chance hatucreate tunacreate chance ila mtu anakosa
Kufunga hufundishwi, 1v1 unakosa, kwa zile chance wanazokosa wakina Havertz,mount unahis striker mzuri anakuacha,
Game ya spurs unahisi zile chance tulizokosa utamlaum kocha??
If hao wachezaj wangekuwa wanascore chance wanazopata wasingekuwa flop
Klopp kwa mafanikio aliyowapa Liverpool hakuna cha kumlaumu pale ila TT anapewa kila anachotaka lakini bado hueleweki kabisaKuna wakat hawa makocha wakijeruman huwa kama akili zao huwa ziko sawa.
Klopp tim inahitaj kiungo mwingine ila yeye hana hata huo mpango
Tuchel nae hivyo hivyo anajua kabisa Kova n Kante ni kama gari la mkaa, ilifaa dirisha hili atafute kiungo mwingine i.e Sangare, ila cha ajabu anakwambia anaviungo wengi.
Na hiyo kushambulia ndio counter, Ajax walikuwa wanatumia hiyo sana. Ziyech hawezi cheza kwenye timu zinazoposess mpira kwa sababu kwenye possesion, timu pinzani zinaweka ukuta.Ziyech ni mzuri tim inapokuwa inashambulia kama ilivyokuwa ajax ila kwenye issue ya kuutafuta mpira hapana.
Kwa pale spurs unahisi Ziyech anawez muweka nje Dejan Kuluvesky.
Ziyech kwenye 1v1 sio mzuri, eneo hilo angekuwa ameimarika angekuwa Winger mzuri sana