Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu pendwa toka Africa timu iliyoleta mapinduzi England na Dunian kote hakika Chelsea ni timu bora
@Carrasco putin hakika wewe huna rafiki wa kudumu wa adui wa kudumu
Screenshot_20220819_150025.jpg
 
Maneno ya TT alipoulizwa kuhusu Broja kufaa kucheza kwenye namba 9

Aliulizwa je Broja anafaa kucheza namab 9 kwa msimu huu au aende tena mkopo zaidi kabla ya kuja kuichezea Chelsea?

Akasema ndio au hapana, tunamjua sana Broja lakini kucheza vizuri na timu nyingine kwenye mkopo ni kitu kimoja na kuja kucheza vizuri kwenye timu kama Chelsea ni kitu kingine.

In terms of a number nine, can Armando Broja be that for you this season? Or does he need to go out again before that?

“Yes and no. We know enough about him but it’s one thing to perform on a loan and another to perform within a club like Chelsea.
 
Majeruhi wetu
  1. Kante mwezi mzima hatakuwepo
  2. Broja siku nane
  3. Pulisic siku 2
  4. Kovacic ??
  5. Alonso ??? hadi aondoke au dela liote mbawa

1660921200600.png
 
Kuna uwezekano tukamsajili Kounde bure tarehe 1 September 2022
Hadi sasa Barcelona wameshindwa kumsajili Kounde na kwenye mkataba wao iliwekwa kipengele kinachomruhusu Kounde kuondoka bure kama hatakuwa amesajiliwa hadi tarehe 31 Agosti 2022
Swali je tusubiri bila CB hadi tarehe 1 September?
 
Hivi Kounde si mlisema ni mfupi? Atakuwa ameongezeka kimo come Sept 1?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom