lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,487
Tutamfanyia maitenanceHivi Kounde si mlisema ni mfupi? Atakuwa ameongezeka kimo come Sept 1?![]()
Tutamfanyia maitenanceHivi Kounde si mlisema ni mfupi? Atakuwa ameongezeka kimo come Sept 1?![]()
Hizi ni tetesi ambayo hazina ukweli tuliwahi kuhusishwa hata na Peter Croch akiwa na umri wa 36 na kafunga goal 4 tu Kwenye Kwenye michezo 33 aliyochezea ya timu yake ya mwisho so sishangai haya mamboFanyeni chaaaap.
View attachment 2329000
Kwa kikos HIKI mbona Kama Kuna harufu ya Sare hivi , hiyo Midfield haitishiLeeds United vs THE BLUES, twende na mfumo wa ulinzi shirikishi 343.
------ STERLING -- KAI --- MOUNT ------
CUCU ----JOGNHO--- CHEEK --JAMES
-----KOULIBALY - THIAGO ---- AZPI -----
Kwann ? We unaona kuna option gani available ikiwa Kova , kante injuryHaiwezi kutokea wiki hii. Kocha siyo mjinga
Hv Makocha wanaonaga nn aisee sasa ndo mambo gan hayaFanyeni chaaaap.
View attachment 2329000

We Pambana na timu Yako baiskeli ya barafu arsenyetoLeo Leeds wanataka sare tu hawataki Mambo mengi
Nyau nyau inatosha
Huku tukifurahia kosa kosa za Rahim Sterling
..hata hujui Chelsea wanacheza liniWewe unaamini kwa akili yako kabisa? Vip ukumbuki kuna kipindi tuliusishwa hadi na Peter Croch mwenye miaka 36Hv Makocha wanaonaga nn aisee sasa ndo mambo gan haya![]()
Huyo anafaa Arsenal, Arteta ni Genius anaweza kumtranform Maguire.Chelsea are pushing hard to sign Harry Maguire. Wonders shall never end🙌
Nimecheka kwa sauti sana @ cash MoneyMaguire njoo THE BLUES, tunahitaji kuwa na mchezaji mwenye kichwa kikubwa kama Transforma, mchezaji anayekaba kwa kufyetua mguu kwa nyuma.
Hatumtaki mamrukiKuna uwezekano tukamsajili Kounde bure tarehe 1 September 2022
Hadi sasa Barcelona wameshindwa kumsajili Kounde na kwenye mkataba wao iliwekwa kipengele kinachomruhusu Kounde kuondoka bure kama hatakuwa amesajiliwa hadi tarehe 31 Agosti 2022
Swali je tusubiri bila CB hadi tarehe 1 September?
Hayo ni mambo ya mawakala kwa ajili ya mteja wake n kama kutia presha kwa ten haggHv Makocha wanaonaga nn aisee sasa ndo mambo gan haya![]()
Mkuu hizo ni tetesi ambazo hazina ukweli wowote,Tt anavuta bang au
jua hiyo ni kweliUkisikia dharau ndo hizi sasa!Chelsea are pushing hard to sign Harry Maguire. Wonders shall never end![]()
Sahau hiloKuna uwezekano tukamsajili Kounde bure tarehe 1 September 2022
Hadi sasa Barcelona wameshindwa kumsajili Kounde na kwenye mkataba wao iliwekwa kipengele kinachomruhusu Kounde kuondoka bure kama hatakuwa amesajiliwa hadi tarehe 31 Agosti 2022
Swali je tusubiri bila CB hadi tarehe 1 September?
Comedy hii, lol!Fanyeni chaaaap.
View attachment 2329000